Jerry Rebiam
JF-Expert Member
- May 22, 2016
- 402
- 357
kuish mikoan tabu kweli vip na club ya simba nayo imevunjwa???Imevunjwa mzee baba
Sent using Jamii Forums mobile app
kuish mikoan tabu kweli vip na club ya simba nayo imevunjwa???Imevunjwa mzee baba
London Lounge ipo External Pale TFDAShemela shemela....
Kiukweli naikubali zaidi Element
Next door jamani padogo,wanajazana mpaka Ac hazisaidii aisee, Full joto na kunuka jasho sipapendi,pazuri tho.
Hiyo London iko wapi niinyapie?,au ile ya river side??
Maisha basement mmmh!!!pako kama nextdoor tu.
Tripo seven pamestaarabika kidogo.panafaaSio imefungwa,ni imevunjwa. Next door wnajazana watoto mpaka Ac hazifanyi Kazi buana. Tukutane Element,triple 7,samaki samaki near Element,club 71 japokuwa haijaazi watu lakini pazuri sana huwa napapenda
Ndiola la chaz pale cnz au hahaaaaaaaa
Masaki elements hapa nextdoor pale
Masaki
Nishaijua hiyo..ile iko juu pale,chini ni bar ya kawaida?London Lounge ipo External Pale TFDA
Masaki Haile selassie rd, ni karibu na next door kama na wew ni wale wa kuhama vijiwe.
5N hawajabomolewa bado..
Hakuna totoz hapo 5n ni kelele tu
Au ndio maana wamebomolewa?Hakuna totoz hapo 5n ni kelele tu