Ipi ni club nzur ya usiku bongo ?

Ipi ni club nzur ya usiku bongo ?

Shemela shemela....
Kiukweli naikubali zaidi Element
Next door jamani padogo,wanajazana mpaka Ac hazisaidii aisee, Full joto na kunuka jasho sipapendi,pazuri tho.
Hiyo London iko wapi niinyapie?,au ile ya river side??
Maisha basement mmmh!!!pako kama nextdoor tu.
Kumbe wew ni mdau mkubwa wa elements, ukinyapia hapo tena hebu niPM tusomane.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
bilicanas posta ishafungwa aisee sahivi ni nextdoor na maisha basement ndio habari ya jiji aisee
Sio imefungwa,ni imevunjwa. Next door wnajazana watoto mpaka Ac hazifanyi Kazi buana. Tukutane Element,triple 7,samaki samaki near Element,club 71 japokuwa haijaazi watu lakini pazuri sana huwa napapenda
 
Back
Top Bottom