zebigmaster
Member
- Dec 22, 2015
- 39
- 17
Shemela shemela....
Iko pande zipi niinyapie??
Iko karibu na coral beach hotel Msasani bayIko pande zipi niinyapie??
Element ipo wap nikapitieShemela shemela....
Kiukweli naikubali zaidi Element
Next door jamani padogo,wanajazana mpaka Ac hazisaidii aisee, Full joto na kunuka jasho sipapendi,pazuri tho.
Hiyo London iko wapi niinyapie?,au ile ya river side??
Maisha basement mmmh!!!pako kama nextdoor tu.
ii Next Door iko wapi man? Kiuhalisia inatakiwa uwe na mpunga kiasi gani kwa kula bata na kung'oa toto la Kilatino kwa usiku mzima?me naikubali next door wtt wa kidosi na wale walatinoooo