Subaru forester XT yenye Turbo Vs isiyo na turbo

101 East

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
1,040
2,121
Niko mbioni kununua gari Aina ya Subaru forester xt series au SH series Kwa wale wajuzi wa magari na wenye experience za magari ipi gari nzuri in terms of ÷

1:ulaji mafuta
2: stability
3:ukubwa wa engine
4:uimara wa engine
5: comfort Ukiwa ndani ya gari

Na kampuni gani nzuri itaniletea chombo Safi kabisa toka Japani.

IMG_20221018_175612.jpg
IMG_20221018_175451.jpg
 
Subaru forester za 2008 - 2012 zenye turbo zinasumbua kwenye cylinder head gasket na engine yake inahitaji uangalifu Sana engine ikifikisha 100k milage Kwa ushauri wangu kuchukua isiyo na turbocharger.....kama unataka Subaru forester zenye turbo ambazo ZINA unyama mwingi na kila aina ya sports nenda na Subaru za 2004-2007
 
kwa upande wang forester xt isiyo na turbo ni unyama mkuu lkn pia inatgmea na ww wnyew unapndlea hipi​

Kwa kifupi tu Subaru Forester XT ina 230HP hii kama unapenda ligi ni moto wa kuotea mbali wakati isio kuna na Turbo yenyewe ina 160HP kama sijakosea yani hii hata na Altezza 3SGE unaikalisha kwaio unyama ni hio XT sema ubaya wa Subaru kwenye Automatic ina gia 4 tu....unless iwe GT
 
Subaru forester za 2008 - 2012 zenye turbo zinasumbua kwenye cylinder head gasket na engine yake inahitaji uangalifu Sana engine ikifikisha 100k milage Kwa ushauri wangu kuchukua isiyo na turbocharger.....kama unataka Subaru forester zenye turbo ambazo ZINA unyama mwingi na kila aina ya sports nenda na Subaru za 2004-2007
Kwamba ikifika 100,000 jambo gani hutokea mkuu?
 
Turbocharger inasumbua hasa ukiwa unasafiri safari ndefu kwahiyo inapelekea gasket kuungua watu wengi wenye hizi Subaru forester zenye turbo wanalalamika kuhusu hivyo.
Ninaye jirani yangu huku chamazi alikuwa na foresta ya 2005 yenye turbo mpaka anauza haijasumbua na sasahivi amenunua foresta 2008 isiyo na turbocharger hii yote imetokana na ushauri wa wadau wa magari kuwa aachane na hizo zenye turbo
 
Aisee mimi hii gari ingekua na gia 5 kwa automatic ningenunua yenye turbo...cha msingi ni kufanya service kubwa baada ya kufika 100,000km
 
Niko mbioni kununua gari Aina ya Subaru forester xt series au SH series Kwa wale wajuzi wa magari na wenye experience za magari ipi gari nzuri in terms of ÷

1:ulaji mafuta
2: stability
3:ukubwa wa engine
4:uimara wa engine
5: comfort Ukiwa ndani ya gari

Na kampuni gani nzuri itaniletea chombo Safi kabisa toka japaniView attachment 2391203View attachment 2391204

Kimsingi isiyo na turbo ni chaguo zuri kwa watu wengi. Ni rahisi kidogo kuimaintain. Inakera tu kitu kimoja, ina steering ya umeme ambayo hufa haraka tofauti na ya turbo ambayo ina steering ya hydraulic
 
Kwa kifupi tu Subaru Forester XT ina 230HP hii kama unapenda ligi ni moto wa kuotea mbali wakati isio kuna na Turbo yenyewe ina 160HP kama sijakosea yani hii hata na Altezza 3SGE unaikalisha kwaio unyama ni hio XT sema ubaya wa Subaru kwenye Automatic ina gia 4 tu....unless iwe GT
Hivi unajua kuwa 3S-GE inafua kati ya 170HP-200HP? Hakuna Forester non turbo inauweza moto wake.
 
Kwa kifupi tu Subaru Forester XT ina 230HP hii kama unapenda ligi ni moto wa kuotea mbali wakati isio kuna na Turbo yenyewe ina 160HP kama sijakosea yani hii hata na Altezza 3SGE unaikalisha kwaio unyama ni hio XT sema ubaya wa Subaru kwenye Automatic ina gia 4 tu....unless iwe GT
2ZZ-GE ya Celica tu inampoteza mbaya huyo Forester
 
Sina experience ya moja kwa moja ila inategemea na matumizi, kama unapita kwenye madimbwi au njia chafu na mashimo ndani ya miaka 2-3 inaanza kukuita.
Conversion kwenda hydraulic inawezekana ila kwa sasa inaweza kugharimu kama 2m au chini kidogo ya hapo

Asante kwa ufafanuzi
 
Back
Top Bottom