the horticulturist
JF-Expert Member
- Aug 24, 2012
- 1,959
- 1,929
Mimi ni mwendo wa vibration tu muda wotebau nikiweka ringtone basi ni original wa simu. Tatizo la kuweka mp3 simu ikiita mtu anakudefine mpaka tabia zako
😂😂😂Over the Horizon
Wangu huo hapo japo natamanigi simu ikiita ufike hadi mwisho ila ndio hivyo haiwezekanagi..
😀😀😀 💃💃💃💃Mhhhhhhh, uhhhhhhh, amazing
Mwimbo una ujumbe murua muziki mtaam sana😀😀😀 💃💃💃💃
Nadhani tunafanana,, Mimi tangu simu inunuliwe haijawahi kujua ringtone zaidi ya vibration tuuMimi ni mwendo wa vibration tu muda wotebau nikiweka ringtone basi ni original wa simu. Tatizo la kuweka mp3 simu ikiita mtu anakudefine mpaka tabia zako
🙏🙏Mwimbo una ujumbe murua muziki mtaam sana