Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 59,139 Reaction score 138,238 Oct 26, 2024 #1 Wakuu naomba kujua App ya Microsoft kali kwa gharama nafuu. Kila kitu cha Microsoft office nachofanya kwenye PC nifanye kwenye Tablet Nimejaribu Microsoft 365 App inanigomea. Nadhani tablet yangu haisapoti
Wakuu naomba kujua App ya Microsoft kali kwa gharama nafuu. Kila kitu cha Microsoft office nachofanya kwenye PC nifanye kwenye Tablet Nimejaribu Microsoft 365 App inanigomea. Nadhani tablet yangu haisapoti
TheGreatASA JF-Expert Member Joined Jun 26, 2014 Posts 302 Reaction score 393 Oct 26, 2024 #2 Microsoft 365 (Office)
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,228 Reaction score 44,230 Oct 26, 2024 #3 OKW BOBAN SUNZU said: Wakuu naomba kujua App ya Microsoft kali kwa gharama nafuu. Kila kitu cha Microsoft office nachofanya kwenye PC nifanye kwenye Tablet Nimejaribu Microsoft 365 App inanigomea. Nadhani tablet yangu haisapoti Click to expand... 365 ni ya kulipia, mpaka ukiweka account yako ndio inabadilika na kuwa na feature set nyingi zaidi.
OKW BOBAN SUNZU said: Wakuu naomba kujua App ya Microsoft kali kwa gharama nafuu. Kila kitu cha Microsoft office nachofanya kwenye PC nifanye kwenye Tablet Nimejaribu Microsoft 365 App inanigomea. Nadhani tablet yangu haisapoti Click to expand... 365 ni ya kulipia, mpaka ukiweka account yako ndio inabadilika na kuwa na feature set nyingi zaidi.
S Saimony JF-Expert Member Joined Nov 7, 2015 Posts 423 Reaction score 481 Oct 31, 2024 #4 WPS nadhani itakufaa zaidi