Ipi ilikuwa nafasi ya Juma Mwapachu ndani ya CCM?

Ipi ilikuwa nafasi ya Juma Mwapachu ndani ya CCM?

Ritz inaonekana wewe unaijua historia ya familia ya kina Mwapachu.
Lakini kibinafsi Amb Juma Volter Mwapachu humjui ndio maana unaleta dharau zako hapa!!
Ila sikushangai maana MaCCM mna tabia ya dharau!!
Eti anasafiria nyota ya kaka yake, wewe hujui acha kujifanya unamjua!!
Uache kudharau wakubwa zako maana unajitafutia laana sio baraka!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom