Chimo
JF-Expert Member
- Aug 31, 2008
- 714
- 364
Acha hizo aisee. Huwezi kumfananisha Salim A. Salim na Juma Mwapachu. Tatizo lenu vijana wa leo mnajifanya mnaijua sana historia ya nchi hii.
PUMBAVU kabisa unaweza kunifananisha Dr. SALIM Na Mlevi huyo
Acha hizo aisee. Huwezi kumfananisha Salim A. Salim na Juma Mwapachu. Tatizo lenu vijana wa leo mnajifanya mnaijua sana historia ya nchi hii.
Mwapachu kachangia nini cha maana kwenye taifa hili zaidi ya kuharibu kila nafasi aliyopewa kuingoza hebu acha mawazo mgando u can't compare Juma na Dr.Salim wanamichango miwili tofauti labda unaweza kujicompare nae wewe mwenyewe coz the same watu wa rombo wanavyokuona useless the same watu wa tanga wanamuona Juma useless.
UKAWA Mnastaajabisha dunia.
Juma Mwapachu ni rafiki wa Lowassa kila mtu analijua hilo Bakari Mwapachu ni rafiki wa Kikwete,Juma siku zote anasafiria nyota ya Bakari ...Dr Salim hana mpango wowote wa kujitoa ndani ya CCM Kama angekuwa antamaa ya kujitoa angeshajitoa toka 2005 kipindi kile alichofanyiwa uhuni na Kikwete na rafikie Lowassa wakati kupitishwa nafasi ya uraisi kwa tiketi ya CCM.....Usipoteze muda wako kumsubiria Dr.Salim hatoki ng'o anakuja baada ya huyu ni kapi jingine ni yule mzee aliyeiuwa TTCL
Jiheshimu.PUMBAVU kabisa unaweza kunifananisha Dr. SALIM Na Mlevi huyo
alikua unesco,akiwa huko alifanya maendeleo makubwa kuwahi kutokea,kabla hajawa katibu wa jumuia ya africa mashariki ambapo alihakikisha kuwa nchi hizo tatu zinafikia mapinduzi makubwa ya kiuchumi.....utendaji wake hauna mfano katika bara lote la africa
Kuna watu vichwa vigumu sana. Hivi wanaoitetea CCM wanakumbuka kwamba miaka 38 ya utawala wake bado. Maji shida, umeme shida, madawa hospitali hakuna, rushwa kila kona. Bado wanaiona ni ya jana jana, mbaya zaidi ni pale wanaposema ccm ni ile ile i thought kwa kusema hivyo mtakumbuka kuwa umeme tu umewashinda pamoja na kua na vyanzo vyote. Kwasasa tunategemea mitambo binafsi kuzalisha umeme ambao ni MW 382 wakati mahitaji ni MW 1780.
Hata jakaya akihama sasa mtamuita mpuuzi ila ukweli humjui amb jumma better u shut dumb ass
Naomba kama hujui mchango wake kwa Taifa yeye na Dr.Salim basi ukae kimya.
....tena kwa uchawi wa kike tu. Acha Chezea tutsi.Ni mmoja wa vijamaa vyenye mchecheto wa kutuuza hovyo hovyo kwenye jumuia ya Africa mashariki! Ni mmoja wa watu wengi wapuuzi ambao ukiwasifia sifa za kijingajinga kama kujua sana kimombo basi analewa na kukuachia mali zake upakue tani yako!
Kama mwenzie Kingunge 'ABSOLUTE POWER HAS CORRUPTED JUMA MWAPACHU ABSOLUTELY'!
NA HAWANA PUMZI YA KUBEBA KITABU CHA ZAMA MPYA!
Naomba kama hujui mchango wake kwa Taifa yeye na Dr.Salim basi ukae kimya.
Marehemu Bakari Mwapachu ndiyo mchango wake unajulikana kwa taifa ili.