suplex city
JF-Expert Member
- Sep 29, 2015
- 433
- 117
Lowassa anajitesa mwenyewe.
Linawauma.
Lowassa anajitesa mwenyewe.
Subirini bao la mkono. Mmekula chambo na mmenasa.Linawauma.
Marehemu Bakari Mwapachu ndiyo mchango wake unajulikana kwa taifa ili.
Naomba kama hujui mchango wake kwa Taifa yeye na Dr.Salim basi ukae kimya.
Mwapachu nafasi yake niuchumia tumbo tu hanatofauti nambatia
Juma Mwapachu anabebwa na jina baba yake na kaka yake yeye kama yeye hamna kitu.
Inaonekana unajiona duni mbele ya wakenya. Zinduka na sio unakaa kulalamika tu 24/7. Huku wapi. Mbona unaongea kama limbukeni vile?...( Ninyi Watanzania huku mnatuabisha sana mbele ya Wakenya)...
Yaani hawa jamaa wanatapatapa sana. Kila anayetoka CCM wanaamua kumsifia, hata kwa sifa asizostahili. Miaka yote hii takriban ishirini wameshindwa kutayarisha mgombea na wamebaki kuokoteza kila aina ya "gamba" linalodondoka toka chama tawala.Huwezi kumuamini mtu mzima anapaka rangi kuwa nyeusi. ukawa ni bunch of crooks!
Inaonekana unajiona duni mbele ya wakenya.
Zinduka na sio unakaa kulalamika tu
24/7
. Huku wapi.
Mbona unaongea kama limbukeni vile?
You talk of foolish trick while you deploy the same....​Grow up!!!
Mwapachu nafasi yake niuchumia tumbo tu hanatofauti nambatia
Subirini bao la mkono. Mmekula chambo na mmenasa.
Unashangaa?kumbe!
Naomba kama hujui mchango wake kwa Taifa yeye na Dr.Salim basi ukae kimya.
Baba yao ndiyo alikuwa TAA/TANU class mate, room mate, wa Nyerere walipokuwa wanasoma Makerere na walisoma tena Uingereza, alikuwa anaitwa Amza Mwapachu.
Huyu Juma hakuwa kichwa alikuwa anabebwa na jina la mzee na kaka yake Bakari.