Ipi ilikuwa nafasi ya Juma Mwapachu ndani ya CCM?

Ipi ilikuwa nafasi ya Juma Mwapachu ndani ya CCM?

Naomba kama hujui mchango wake kwa Taifa yeye na Dr.Salim basi ukae kimya.

Hana mchango wowote ule, wenye mchango wanaonekana, kwanza sifa zoa huwa wanahekima sana, ndo akina Warioba, Salim, Msuya, na wengine si hao wachumia tumbo.
 
Mwapachu kachangia nini cha maana kwenye taifa hili zaidi ya kuharibu kila nafasi aliyopewa kuingoza hebu acha mawazo mgando u can't compare Juma na Dr.Salim wanamichango miwili tofauti labda unaweza kujicompare nae wewe mwenyewe coz the same watu wa rombo wanavyokuona useless the same watu wa tanga wanamuona Juma useless.

Tafuata ID yenye jina la kistaarabu...!
 
Dr Salim akijitoa CCM rasmi kesho mtamponda tu.

Juma Mwapachu ni rafiki wa Lowassa kila mtu analijua hilo Bakari Mwapachu ni rafiki wa Kikwete,Juma siku zote anasafiria nyota ya Bakari ...Dr Salim hana mpango wowote wa kujitoa ndani ya CCM Kama angekuwa antamaa ya kujitoa angeshajitoa toka 2005 kipindi kile alichofanyiwa uhuni na Kikwete na rafikie Lowassa wakati kupitishwa nafasi ya uraisi kwa tiketi ya CCM.....Usipoteze muda wako kumsubiria Dr.Salim hatoki ng'o anakuja baada ya huyu ni kapi jingine ni yule mzee aliyeiuwa TTCL
 
Kumfahamu zaidi mwapachu famila yao na siasa za Tanzania no bora mkapitia maandiko yafuatayo
http://www.mohammedsaid.com/2015/07/fb-juma-mwapachu-amzungumzia-baba-yake.html

[url]http://mziguaharisi.blogspot.com/2015/04/harakati-za-nyerere-na-mwapachu-kusaka.html


pia ungetafuta vitabu vyake
  • Management of public enterprises in Developing countries , the Tanzania experience
  • confronting new realities on Tanzania Radical Transfomation

kaka yake Bakari Mwapachu amekua mbunge wa Tanga mjini kwa vipindi 2 ,


[/URL]
 
Swali wadau: Huyu Juma Mwapachu na Bakari Mwapachu wana undugu wa aina yeyote?
MIAKA 50 iliyopita, Septemba 17, mwaka 1962, Hamza Kibwana Bakari Mwapachu, baba yake na Harith Bakari Mwapachu, Rahma Mwapachu, Juma Volter Mwapachu, Wendo Mtega Mwapachu, Tunu Mwapachu na Jabe Jabir Mwapachu, alifariki dunia mkoani Dar es salaam. Alifariki katika umri mdogo wa miaka 49, wakati huo alikuwa Katibu Mkuu Msaidizi katika Wizara ya Mambo ya Ndani.
Akiwa amezaliwa Tanga, marehemu Hamza alisoma elimu yake ya shule ya msingi na sekondari mkoani Tanga baada ya darasa la nne, wakati huo ikiwa ni elimu ya sekondari ya kiwango cha juu Tanganyika.
Baada ya hapo alisomea mafunzo ya utabibu, katika Shule (Hospitali) ya Uganga ya Sewa Haji, mkoani Dar es Salaam na kuhitimu cheti cha mganga msaidizi, mwaka 1935. Mwaka 1937 alipelekwa kuwa mwalimu wa shule ya uganga mkoani Mwanza iliyokuwa ikifundisha wafanyakazi wasaidizi wa uganga. Akiwa Mwanza alikutana na Juliana Volter ambaye alifunga naye ndoa mwaka 1938.
Akiwa mwenye malengo makubwa ya kufanikiwa, alijiunga na Chuo cha Makerere, mwaka 1943 kusomea stashahada ya udaktari. Wakati huo, Makerere hawakuwa wakitoa shahada ya aina yoyote.
Kama historia ilivyojionyesha, Hamza na Julius Nyerere walijiunga na Chuo cha Makerere wakati huo na kuanzisha safari yao ya urafiki wa karibu pamoja na uhusiano kisiasa, bila kujali tofauti ya umri wa miaka tisa kati yao.
 
Mwapachu ni jina kubwa sana Tanzania
wao mkoa wa Tanga kama wamiliki vile

Baba yao sijui kaka yao alisoma na Nyerere Makerere
na akawa mmoja wa waasisi wa TANU Tanga....

wana historia ndeeefu mno

ingawa na wao hupenda kujifanya 'tanga ndo mali yao'

Lakini sio mtu mdogo hasa Tanga
 
Kwanza huyu alisha achana na ccm kitambo, miaka ya 1985!ni bac tu kipindi hicho ilikuwa ccm kubebana, lakini kwa sasa ni kazi tuu, kauli mbiuu!!
 
Mwapachu ni jina kubwa sana Tanzania
wao mkoa wa Tanga kama wamiliki vile

Baba yao sijui kaka yao alisoma na Nyerere Makerere
na akawa mmoja wa waasisi wa TANU Tanga....

wana historia ndeeefu mno

ingawa na wao hupenda kujifanya 'tanga ndo mali yao'

Lakini sio mtu mdogo hasa Tanga
Baba yao ndiyo alikuwa TAA/TANU class mate, room mate, wa Nyerere walipokuwa wanasoma Makerere na walisoma tena Uingereza, alikuwa anaitwa Amza Mwapachu.

Huyu Juma hakuwa kichwa alikuwa anabebwa na jina la mzee na kaka yake Bakari.
 
Tafadhali sana usimlinganishe Dr.salim na huyu mwendawazimu.hawafanani hata kidogo ni sawa na mbingu na ardhi.hivi unategemea Dr.salim anaweza kumuunga mkono fisadi kama lowassa? Mambo mengine muwe mnakaa kimya tu Kama hamuelewi .eti wewe ndio msemaji wa chama akili yako nusu kijiko.pumbavu sana

Mlisemaga hata lowasa hawezi kuhama ccm ona anavyowatesa ccm
 
Tafadhali sana usimlinganishe Dr.salim na huyu mwendawazimu.hawafanani hata kidogo ni sawa na mbingu na ardhi.hivi unategemea Dr.salim anaweza kumuunga mkono fisadi kama lowassa? Mambo mengine muwe mnakaa kimya tu Kama hamuelewi .eti wewe ndio msemaji wa chama akili yako nusu kijiko.pumbavu sana

Hata jakaya akihama sasa mtamuita mpuuzi ila ukweli humjui amb jumma better u shut dumb ass
 
hata kikwete akihama,bado magufuli anapasua,,HAPA NI KAZI TU
 
Back
Top Bottom