Ipi bora: Tecno C8 vs Blue studio energy 2

Kwani nyie mmechukua model no.ngp Za c8 Coz me c8 yangu haijawah kua na matatizo uliyoyataja HPO juu na nimejaza app kubwakubwa km asphalt8,front line commando,n.k.....achilia mbali movies,music.n.k
b8be661bbd0aeffb79d925825cdb1669.jpg
 
Mkuu usije kununua tecno yoyote

Jipinde ongeza 50 hapo utapata lg g2 zipo kwa 350 nyingi tu hata humu ndan kuna jamaa anauza kwa 360 tu..g2 ni flagship huez fananisha na hizo simu za kichina.
kcamp mshana jr hii simu blu studio energy 2 inanivutia kwa swala la chaji pia ina 4G, ebu utazameni na muisaminishe
 
Kwani nyie mmechukua model no.ngp Za c8 Coz me c8 yangu haijawah kua na matatizo uliyoyataja HPO juu na nimejaza app kubwakubwa km asphalt8,front line commando,n.k.....achilia mbali movies,music.n.k
Huyo jamaa kila post anailalamikia simu yake lkn na mm nimesha jaribu kuangalia hayo anayo yasema mimi siyaoni.
Simu kuwa slow husababishwa na mambo mengi, yangu haina hilo tatizo, hilo la sms na lenyewe sidhani coz mm natumia App ya textra so sijakutana na hilo tatizo.
Matatizo mengi ya C8 yalisha kuwa solved kupitia update walizokuwa wakizituma.
Labda useme matatizo mengine kama hizo chip za mediatek na material iliyotumika ni plastik so ukiwa wa kudondosha chini mara kwa mara hutokuwa na simu tena.
 
kcamp mshana jr hii simu blu studio energy 2 inanivutia kwa swala la chaji pia ina 4G, ebu utazameni na muisaminishe
Hiyo simu ni MTK chipset wala sishauri

Kuhusu 4g unataka utumie kweny mtandao gani? Kama ni tigo basi hiyo simu haipo compatible na band za tigo

Trust me huwez compare na g2 nlokutajia kwa kitu chochote

Mbaya zaidi usipagawe na hyo battery yake kwa hyo processor ya mtk unaweza pata life mbovu upande wa battery simply kutokana na soc ya hyo simu.

Embu kaiangalie lg g2 kisha urud hapa.
 
Upande wa battery nitakubishia mpk milango ya mbingu ifunguke Coz sim yangu nikiichaj inakaa 8-9.30hrs on heavy usage
 
Nimesema unaweza , means there is possibility sawa mkuu?
Wala sio kwamba ni 100% ila kutokana na soc kua kimeo na kuna watu wana claim hilo kweny hizo soc
 
Nimekupata mkuu isiwe kesi
 
Hiyo simu ni MTK chipset wala sishauri

Kuhusu 4g unataka utumie kweny mtandao gani? Kama ni tigo basi hiyo simu haipo compatible na band za tigo

Trust me huwez compare na g2 nlokutajia kwa kitu chochote

Mbaya zaidi usipagawe na hyo battery yake kwa hyo processor ya mtk unaweza pata life mbovu upande wa battery simply kutokana na soc ya hyo simu.

Embu kaiangalie lg g2 kisha urud hapa.
mkuu kcamp nimekuelewa na nimebadili mawazo na kukubali ushauri wako, ebu nisaidie upatikanaji wa hiyo simu kwenye box lake ingawa bei mkasi
 
Kwani nyie mmechukua model no.ngp Za c8 Coz me c8 yangu haijawah kua na matatizo uliyoyataja HPO juu na nimejaza app kubwakubwa km asphalt8,front line commando,n.k.....achilia mbali movies,music.n.k
Kwani c8 ipo model ipi na ipi?? Namodel ipi ndio nzuri??
 
C8 ndo nayotumia, before Nilikuwa natumia iphone 4 ikafa flash, nakuhakikishia Techno c8 iko poa kuliko ata iphone 4
 
Back
Top Bottom