Ipi bora: Tecno C8 vs Blue studio energy 2

Ipi bora: Tecno C8 vs Blue studio energy 2

OK Naomba unifanyie hvyo mkuu tena ikibid nambie nawapata vp kwa social networks
haya hapa mawasiliano yao

Wapenzi wetu wa BLU®, tumepokea simu ya STUDIO ENERGY 2. Kwa msimu huu wa pasaka itakuwa na bei ya ofa ya 355,000 TSH tu! Inayo specification ya juu, design ya kisasa na kwality ya USA. Simu hii huweza kukaa bila kuchaji hadi siku tatu! Wasiliana nasi kwenye SIMU +255 657 714 397 au +255 717 146 364 na kwenye WHATSAPP +255 685 77 1313.
Website yetu: Become a Blu® Authorized Agent Today! - Become a Blu® Authorized Agent Today!
Kutazama simu zetu za BLU® nenda hapa:
All BLU phones
 
kcamp namba yangu 0713268209
uploadfromtaptalk1457976642748.jpeg

Chek huyu jamaa alipost anazo hizo simu humu jf
 
haya hapa mawasiliano yao

Wapenzi wetu wa BLU®, tumepokea simu ya STUDIO ENERGY 2. Kwa msimu huu wa pasaka itakuwa na bei ya ofa ya 355,000 TSH tu! Inayo specification ya juu, design ya kisasa na kwality ya USA. Simu hii huweza kukaa bila kuchaji hadi siku tatu! Wasiliana nasi kwenye SIMU +255 657 714 397 au +255 717 146 364 na kwenye WHATSAPP +255 685 77 1313.
Website yetu: Become a Blu® Authorized Agent Today! - Become a Blu® Authorized Agent Today!
Kutazama simu zetu za BLU® nenda hapa:
All BLU phones
Thanks
 
Mkuu usije kununua tecno yoyote

Jipinde ongeza 50 hapo utapata lg g2 zipo kwa 350 nyingi tu hata humu ndan kuna jamaa anauza kwa 360 tu..g2 ni flagship huez fananisha na hizo simu za kichina.
C8 ni mbovu zina matatizo ya kufa baada ya miezi mitatu tangu inaponunuliwa.
Techno C8 ina hizo sifa zote lakini ina matatizo yake mengine, kuna wakati inakuwa slow kwenye kurespond pia ukitaka kutuma msg inakuletea namba ya mwisho kutumia na sio namba unayoitaka usipokuwa makini unaweza kupata kesi hasa kama una michepuko

Hakuna hata yenye afadhali hapo..sikushauri yoyote
Budget yako ikoje utajiwe simu

Tecno c8 ni janga la dunia.

Kumbe kuna techno original

Yah KUna watu wanaingiza feki Coz sku Hz wanaona zinauzika sana

Tecno zote ni fake

Hebu pata maoni ya wengine kwanza binafsi nisingeshauri uchukue C8

Huyo jamaa kila post anailalamikia simu yake lkn na mm nimesha jaribu kuangalia hayo anayo yasema mimi siyaoni.
Simu kuwa slow husababishwa na mambo mengi, yangu haina hilo tatizo, hilo la sms na lenyewe sidhani coz mm natumia App ya textra so sijakutana na hilo tatizo.
Matatizo mengi ya C8 yalisha kuwa solved kupitia update walizokuwa wakizituma.
Labda useme matatizo mengine kama hizo chip za mediatek na material iliyotumika ni plastik so ukiwa wa kudondosha chini mara kwa mara hutokuwa na simu tena.

Hiyo simu ni MTK chipset wala sishauri

Kuhusu 4g unataka utumie kweny mtandao gani? Kama ni tigo basi hiyo simu haipo compatible na band za tigo

Trust me huwez compare na g2 nlokutajia kwa kitu chochote

Mbaya zaidi usipagawe na hyo battery yake kwa hyo processor ya mtk unaweza pata life mbovu upande wa battery simply kutokana na soc ya hyo simu.

Embu kaiangalie lg g2 kisha urud hapa.
 
C8 ni mbovu zina matatizo ya kufa baada ya miezi mitatu tangu inaponunuliwa.
Ongea jambo kwa fact kaka, natumia Tecno C8 niliinunua mwezi wa tisa mwaka jana na ndio nimetumia kupost hii comment. Hebu nisaidie ku hesabu nimiezi mingapi hadi sasa ipo mikononi mwangu.
 
Pata simu kwa bei poa kabisa

Samsung Galaxy
S3-350k
S4-395k
S5-496k
S6-1.24m
S6 edge - 1.55m
S6 edge plus - 1.78m

Samsung Galaxy
Note 1-292k
Note 2-393k
Note 3-532k
Note 4-750k
Note 5-1.2m

Sony Ericsson
Z3-650k
Z2-560k
Z1-450k

Pia Samsung tab 2,3,4 zipo bei ni pouwa. Pamoja na simu aina zote kwa mawasiliano zaidi piga simu namba +255652971495
 
Simu hizo nimekuwekea kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0652971495
 
Sikushaur saaanaa kununuaaa tecnooo c8 coz hata mm nishaitumiaaa saanaaa hiyooo cm inatendency ya kurutorespond kwa wakatiiii...!
Unawezaa ukawaaa uko YouTube Mara ikarudi katk haliii ya kawaidaaa bilaaa kupress home button.
Tafuta brand nyingneee
Kama hutojar...!!!
Tecno hakunaaa kituuuu
 
Haloo ebu chukua hyo tekno camera safi mno chaj nakaa sana, halafu screen pana vizuri
 
Sikushaur saaanaa kununuaaa tecnooo c8 coz hata mm nishaitumiaaa saanaaa hiyooo cm inatendency ya kurutorespond kwa wakatiiii...!
Unawezaa ukawaaa uko YouTube Mara ikarudi katk haliii ya kawaidaaa bilaaa kupress home button.
Tafuta brand nyingneee
Kama hutojar...!!!
Tecno hakunaaa kituuuu
Ahsante sana kwa ushauri mkuu john wa seba ushauri wako umezingatiwa
 
Ahsante sana kwa ushauri mkuu john wa seba ushauri wako umezingatiwa
That has something to do with sensitivity, techno is a high sensitive phone, ukiweka mamikono yako vibaya ni lazima uione mbovu, pia you can check on its sensitivity and reduce it if you can!
 
Back
Top Bottom