ESPIRIT
JF-Expert Member
- Jul 3, 2014
- 665
- 524
LG sijaitumia nikahakikisha ubora wakemkuu vipi kuhusu lg 2 na tecno c8??
LG sijaitumia nikahakikisha ubora wakemkuu vipi kuhusu lg 2 na tecno c8??
Huijui tecno wewe umekaririshwa nyamazaTecno zote ni fake
Hivi unacompare je hiyo Blu brand na HTC. Elimu yangu kwa hizi gadgets ni ndogo ila nataka fanya maamuzi ya kununua kitu super.haya hapa mawasiliano yao
Wapenzi wetu wa BLU®, tumepokea simu ya STUDIO ENERGY 2. Kwa msimu huu wa pasaka itakuwa na bei ya ofa ya 355,000 TSH tu! Inayo specification ya juu, design ya kisasa na kwality ya USA. Simu hii huweza kukaa bila kuchaji hadi siku tatu! Wasiliana nasi kwenye SIMU +255 657 714 397 au +255 717 146 364 na kwenye WHATSAPP +255 685 77 1313.
Website yetu: Become a Blu® Authorized Agent Today! - Become a Blu® Authorized Agent Today!
Kutazama simu zetu za BLU® nenda hapa:
All BLU phones
Kitu kimoja c8 imemiss ni kukosa 4G baaaas:Jamani hizi ni aina ya simu makapuni mawili tofauti, kwa anaezifahamu simu gani bora zaidi
katika yafuatayo
>uimara wa simu katika matengenezo
>ubora wa camera
>storage ya simu
>ukaaji wa chaji
>ubora wa kasi wa internet
>mwonekano mzuri
wataalamu karibuni
cc: Chief-Mkwawa na wengine
Niambie tecno ina nini special? Au unataka kusemaje kuhusu tecno kwanzaHuijui tecno wewe umekaririshwa nyamaza
C8 ina model no.? Kama naanza kusense kitu hapoKwani nyie mmechukua model no.ngp Za c8 Coz me c8 yangu haijawah kua na matatizo uliyoyataja HPO juu na nimejaza app kubwakubwa km asphalt8,front line commando,n.k.....achilia mbali movies,music.n.k
Well said mkuuKwa kuangalia specs za simu zote mbili naona yote ni mabomu kama unaweza 100% bora nunua LG g2 1080p display (screen yake kwa ppi ya 424 ni clear kuliko hizo simu mbili za 294 ppi) , ram kubwa, update utapata hadi lollipop na kuna custom rom kibao za Marshmallow, camera nzuri MARA 1000 ZA HAYO MABOMU, simu ina 4g ukipata version ya D802 ipo compatible na network ya tigo na battery life yake imesifiwa mnoo... Kama mtu una hela yako kununua Tecno ni upumbavu but kama salio alitiki Tecno ni poa.
Mkuu umesema vyema kama mtaalam nimekuelewaKwa kuangalia specs za simu zote mbili naona yote ni mabomu kama unaweza 100% bora nunua LG g2 1080p display (screen yake kwa ppi ya 424 ni clear kuliko hizo simu mbili za 294 ppi) , ram kubwa, update utapata hadi lollipop na kuna custom rom kibao za Marshmallow, camera nzuri MARA 1000 ZA HAYO MABOMU, simu ina 4g ukipata version ya D802 ipo compatible na network ya tigo na battery life yake imesifiwa mnoo... Kama mtu una hela yako kununua Tecno ni upumbavu but kama salio alitiki Tecno ni poa.
1. Screen resolution G2 ni 1920 x 1080 G3 ni 2160x1440Lg g2 na lg g3 zinatogauti gani
hazitengenezwi marekani, just wamiliki wake wapo marekani. simu nyingi za mediatek watu wana rebrand tu, unanunua simu china unabandika logo kwa juu unakuja kuzidump huku Africa na kwengine ambapo watu wanapenda vitu vya bei rahisi.Blu ni simu nzuri sana,imatengenezwa marekani,ina standard ya juu lakini ni ngeni kwenye soko,wengi wanaweza kuwa hawaifahamu.ingia gsmarena,uitafute