Ipi bora: Tecno C8 vs Blue studio energy 2

hazitengenezwi marekani, just wamiliki wake wapo marekani. simu nyingi za mediatek watu wana rebrand tu, unanunua simu china unabandika logo kwa juu unakuja kuzidump huku Africa na kwengine ambapo watu wanapenda vitu vya bei rahisi.
Asee chief naomba comments zako khs galaxy note 2 mkuu, performance yake unaionaje? Najua kuna note 3,4,4 edge etc. Lkn naomba kujua note 2 ynyw chief!!
 
note 2 imepitwa na wakati mkuu, sasa hivi zipo simu za hadi chini ya laki 3 ambazo zina specs nzuri zaidi yake.
 
Asante sana chief, kuna mtu ameikuta sehem inauzwa kwa bei rahisi, akaniomba ushauri. Asante sana mkuu
 
inategemea urahisi wenyewe ni shilingi ngapi kama ni rahisi sana (around laki 2) na ipo katika hali nzuri sio mbaya ila zaidi ya hapo sishauri ainunue. pia simu za samsung au simu za amoled/oled zina tabia ya kusumbua baada ya miaka miwili ya matumizi makubwa hivyo hilo nalo aangalie kama kuna pixel zisizofanya kazi kwenye kioo
 
Hiyo simu ni MTK chipset wala sishauri

Kuhusu 4g unataka utumie kweny mtandao gani? Kama ni tigo basi hiyo simu haipo compatible na band za tigo

Trust me huwez compare na g2 nlokutajia kwa kitu chochote

Mbaya zaidi usipagawe na hyo battery yake kwa hyo processor ya mtk unaweza pata life mbovu upande wa battery simply kutokana na soc ya hyo simu.

Embu kaiangalie lg g2 kisha urud hapa.
Lg G2 ina tatizo la kufa screen
 
inategemea urahisi wenyewe ni shilingi ngapi kama ni rahisi sana (around laki 2) na ipo katika hali nzuri sio mbaya ila zaidi ya hapo sishauri ainunue. pia simu za samsung au simu za amoled/oled zina tabia ya kusumbua baada ya miaka miwili ya matumizi makubwa hivyo hilo nalo aangalie kama kuna pixel zisizofanya kazi kwenye kioo
Asante sana chief, hapo Kwny matatizo ni kweli kabisa kuna mtu namfaham ana note 3,hio simu yake ilizima ghafla tu mpk leo haijapona tena. Sijui ni uzee wa simu au ni nini?
 
hilo tatizo la kufa ghafla simu yoyote inaweza tokea hapo ndio unaona faida ya warranty. simu zinatengenezwa mamilioni ya units hivyo lazima unit kadhaa ziwe na matatizo kama hayo.
 
Back
Top Bottom