naan ngik-kundie
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 1,750
- 2,438
wakuu mbona kimya sana hum nielekezeni bas jinsi ya kuscreen-shout
I cloud ndo nini?
I cloud ndo nini?
Kama sio team apple lala mbele
Aaah yan mtu yupo humu alafu hajui iCloud ni nin... Daaaah hii kali axee
Kama sio team apple lala mbele
Sioni haja ya kumpausha jamaa kwa kua hajui "icloud" the least you could do ni kumwambia icloud ni nini umpunguzie ujinga.
Bonyeza kwa pa1 home button na POwer button
Amekujaje hapa wakat hapamuhusu
habari wakuu,natumia iphone 4 shida moja kubwa betri haikai na chaja pia hupata moto sana,kama kuna mtu anajua uvumbuzi wa hili tatizo naomba anijuze!
Jestkilla ndugu mm pia niko na iphone ila iko ugonjwa huo