Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,673
- 11,342
Siwezi kuku-guarantee ila sometime huwa inaingiza inategemea na charge yenyewe maana charger za iphone huwa inaweza isiingize charge ila ukiiweka kwa muda mrefu unashangaa charge imeingia. Jaribu mkuu ni katika kufanya trouble shooting maana hata mie nilikuwa nina same problems nilikuwa ninafanya hivyo maana ukiishiwa charge hakuna jirani wa kuazima charger kutokana na kutokuingiliana. Jaribu tu kuchomeka huku imewaka alafu zima usikilizie matokeo kesho asubuhi alafu utanipa mrejesho, kama isipojaa basi hiyo charger imekufa kabisaKwa hiyo Mkuu hata kama haioneshi kuwa inaingiza nikichomeka nikaacha had asubuh inaweza ikachaji?
Vipi mkuu ilicharge au ilileta chenga ulivyoilaza kwenye charge?Kwa hiyo Mkuu hata kama haioneshi kuwa inaingiza nikichomeka nikaacha had asubuh inaweza ikachaji?
Vipi mkuu ilicharge au ilileta chenga ulivyoilaza kwenye charge?
Poa nazijua hizo charger niliwahi kuishi kwa style hiyo wiki nzima nilikuwa mkoa tena Iringa huko ukiingia dukani unapigwa bei ya 20,000 alafu fekiNashukuru sana Mkuu..nlifanya kama ulivyonielekeza,usku nlichomeka japo simu haikuonesha notification kuwa inachaji nikaizima nkalala zangu kuamka kuwasha imejaa.Hatimae leo nimeenda kununua lighting to USB cable nyingine naona tatizo limeondoka kabisa.
Poa nazijua hizo charger niliwahi kuishi kwa style hiyo wiki nzima nilikuwa mkoa tena Iringa huko ukiingia dukani unapigwa bei ya 20,000 alafu feki
Ila nilinunua za kawaida tu duka flani Mwanza, ya buku 5 mpaka sasa ninadunda nayo yenyewe nene kidogo wakati hizi nilizokuwa napigwa 15,000 mpaka 20,000 zilikuwa zinakufa (nikachukua mbili kabisa maana simu hizi hazina ujirani mwema)Duh hiz iPhone hazifai kwenda nazo kijijin maana charger ikifa tu simu utaweka kwenye Begi.
Ungem-quote huyo uliemuuliza au um-mention ili aweze kuona kwa urahisi maana uzi huu watu kibao wamepigia promo mali zaoKk iyo phone bado ipo au ishasepa?
nipo dar nna ipad isiyotumia line vpHiyo i cloud lock inatoka tena kabisa, iphone zote zinazotumia ios 6 kushuka chini zina uwezokano wa kufunguliwa icloud kwa kutumia IMEI namba tuwasiliane 0714648822
Hello wadau..hivi kuna mtu alishawahi ku experience tatizo la touch id?yan home button inafanya kaz kama kawaida ila ukitaka ku set fingerprint ina fail na kuandika "unable to complete touch id set up,please go back and try again".Kama hilo tatzo lina solution naomba nielekezwe cha kufanya,thanks
Wakuu ninaomba Msaada Kwani iPhone yangu 5c haifungui Apple Store kabisa
Ninaruhusu vipi Mkuu nielekeze plzJaribu kutumia wifi Kama ikikubali basi ruhusu Apple Store kutumia cellular data
Ninaruhusu vipi Mkuu nielekeze plz
IPhone 5c au 5sInauzwa iPhone 5 16GB, 300K haina shida yoyote.