iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

iphone unaweza kubadilisha kioo kwa kibongo matatizo ya ndani micro electronic repair watakudanganya maana hakuna wanacho fanya kwa teknolojia ya digital
 
Inachosha tu kuhamisha picha au nyimbo,sielewagi iTunes, I had to find an alternative software
 
Natumia i phone since 2008.. 3G .. Now natumia 5s .. Sitaki kuhama .. 6 naziona kama kubwa.. Labda nitatumia SE
Hahahaaa... Sawa mkuu nadhan utakua unayo iyo icloud unless unajua kwajina la Apple ID or otherwise.
 
Anae hitaji full display ya iPhone 5s original yani unaitoa kwenye simu nicheki inbox.
 
Mkuu mimi ninayo 5s ina icloud,tuongee biashara.
 
kuna iphone 4S imetumika miezi 2 bei 330k fixed kama waitaj n pm

haina tatzo lolote
 
Wakuu hbr,ebwana nilipoteza iPhone yangu ina lock bt mazingira iliyopotea ni nyumbani so nahisi madogo walinipiga,then nina waswas maana my password was soo simple tukikaa masaa mawili utaijua tu,je naweza kuitrack vp? Apple ID ndo sio rahisi kuijua password yake mtu mwingine
 
Wakuu iOS 10 imetoka,kwa atakae upgrade naomba atupe mrejesho jinsi ilivyo. Nimefatilia kwenye forums mbali mbali watu wameiponda.
 

Ingia google kila kitu kipo,utajua jinsi ya kutrack.
 
Wakuu iOS 10 imetoka,kwa atakae upgrade naomba atupe mrejesho jinsi ilivyo. Nimefatilia kwenye forums mbali mbali watu wameiponda.

Usisikilize watu kuiponda. Ni nzuri kuliko iOS 9.3.5. Nimeupdate and its so good. [emoji108]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…