Mwandwanga
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 3,057
- 1,573
Umetumia Z1 unaiponda Z2, Z3, Z5 Mtanzania bwanaAta camera bado haifiki ata samsung s3 ya zaman ,nmetumia experia z1 haina camera nzuri n megapixel nyng tu afu usidanganyike kwamba simu ikiwa na megapixel nyng ndo inatoa picha nzuri mkuu...
Waterproof walianza kuitoa Sony Xperia hata hao Samsung ni technology mpya kwao ila wafuatilie Sony walianza nayo zamanVitu vya kizamani hivo. Wireless? Tunaongelea wireless za headphones zamani sana. Waterproof hiyo Samsung walitoa miaka 2 iliyopita kuanzia s5
Mimi nilishatumia galaxy note 3 ipo vizuri kwenye kamera zaidi ya note 4 ambayo ndo ninaitumia kwa sasa japokua note 4 ndo yenye thamani kubwa kuliko note 3Hivi ni kweli kwamba katika smartphone camera iphone ndo yuko vizur? Maana nahitaji ninue kati ya iphone 5s au galaxy note 4 naombeni mawazo yenu...
Hizo zote zinabebwa na software, simu gani hata hujafanyia picha edit, tayari inakutoa kama umepaka poda, huna hata chunusi mojahyo j8 inapitwa hadi na c8 kwa camera nzur...
hahahahahahahahahaTafuta iPhone 5S na hizo smartphones nyingine then piga picha kwenye location moja halafu anza kucompare simu ipi inatoa picha yenye uhalisia na yenye ubora. Ukiona inakusumbua zichukue hizo picha hamishia kwenye computer halafu anza kuzichambua.
Kwa Mimi iPhone is the best
NOTE:
Ogopa sana unapiga picha badala ya kukutoa rangi yako nyeusi unatoka maji ya kunde.
Jaribu na lenovoIphone hakuna kitu........camera hovyo sana hasa usiku......
Hii nazungumzia iPhone 6s......bure kabisa......
Samsung zipo poa sana........
hio ni lumia 1020 na sio 950xl. lumia 1020 ndio ina camera 41mp na xenon flash (hiko kitaa kirefu hapo)Mkuu unatakiwa utumie hii Nokia lumia 950 XL alaf urudi kuja kuhakiki thread yako kuhusu iphone.......nadhani unaona hapo mega pixels ngapi zimeandikwa.....
Ogopa simu mpaka watu wanatumia kufanya shooting kabisa.
Unachoongea ni kwel j8 ina camera nzur sanaatecno j8 hapana kabisa,hizo nyingine migizagiza mingi sana,overrrrrr
Yaan hii sim ina camera nzur balaaTecno j8 ndo zuri
Asante kwa marekebisho......nambie hiyo camera model na hizo iphone za mtoa post, let us be hpnest ?hio ni lumia 1020 na sio 950xl. lumia 1020 ndio ina camera 41mp na xenon flash (hiko kitaa kirefu hapo)
lumia 950xl yenyewe ina triple led flash, zipo flash tatu lakini still ni led hivyo haipo level moja na xenon ya 1020