Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,262
- 44,391
Sidhani kama kutakuwa na website nyengine reliable kuliko sony wenyewe. Na watu wengi wanaingia chaka na hilo neno "effective pixel" lililotumika kwenye sensor ya Sony ila zote mbili ni quad bayer. Hazina uwezo wa kuproduce picha ya megapixel 48 yenye pixel milioni 48 za rangi tofauti tofauti bali wanaunganisha pixel 4 za rangi moja ama mbili za rangi 1 kwenye hdr.Kiongozi tafuta differences ya Sensor ya Samsung 48MP GM1 na Sony 48MP IMX 586 hapo utaona
Kaka nambabyako basi maana tuzame inboNote 8 pro ina 64mp, sensor yake ni nzuri zaidi compare na hizo za 48mp,
Ko iyo note 8 pro itakuea inaweka blur nzuri??na autofocus yake itakuwa vizur samqhani lakini kwakuwa nimeona ww ni mtaalamu na hayo mambo kiongoziNote 8 pro ina 64mp, sensor yake ni nzuri zaidi compare na hizo za 48mp,
Simu karibia zote zenye camera zaidi ya moja zinaweka blur, na redmi note 8 pro ina depth sensor pia, hivyo itakuwa na potrait mode nzuri kushinda simu nyingi kwenye hii price point, sema haitakuwa nzuri kushinda simu zenye Tof ambazo nyingi ni highend (za bei kubwa zaidi)Ko iyo note 8 pro itakuea inaweka blur nzuri??na autofocus yake itakuwa vizur samqhani lakini kwakuwa nimeona ww ni mtaalamu na hayo mambo kiongozi
Yake itakuwa ni ya kawaida sanaa maana nimeingia google nimekuta ni 14,999rupeeSimu karibia zote zenye camera zaidi ya moja zinaweka blur, na redmi note 8 pro ina depth sensor pia, hivyo itakuwa na potrait mode nzuri kushinda simu nyingi kwenye hii price point, sema haitakuwa nzuri kushinda simu zenye Tof ambazo nyingi ni highend (za bei kubwa zaidi)
Ndio ni around laki 5 hivi.Ko bei
Yake itakuwa ni ya kawaida sanaa maana nimeingia google nimekuta ni 14,999rupee
Kaka basi tusaidiane contact zangu ni 0623011171 wasapNdio ni around laki 5 hivi.
Mkuu huwa mimi sitoi account zangu humuKaka basi tusaidiane contact zangu ni 0623011171 wasap
Oppo F5 kwa bei hio hapana kuna simu kibao za helio p22/23 kwa around laki 3 ama chini ya hapo,Chief-Mkwawa naomba ushauri wako tafadhali,nahitaji simu ambayo ni high quality kadri ya budget yangu ilivyo,bajeti yangu ni kati ya 500k-550k,katika ufukunyuzi wa hapa na pale niliona watu wakiisifia sana OPPO F5 ambayo inauzwa around bei hiyo,nami nilipochimbua nikavutiwa specs zake.Izingatiwe kuwa nahitaji simu ambayo walau inatunza chaji na haipati moto coz mie ni mtumiaji sana wa internet,pia camera bora kwa ajili ya issue ya kuscan documents kiofisi zaidi.Kwa neno lako litanifanya nisibahatishe kununua simu.AHSANTE
Basi nicheki wewe. Mkuu.........Mkuu huwa mimi sitoi account zangu humu
Mkuu Oppo ni simu nzuri sana wewe nunua mpya kabisa .Nanunua hapahapa,nimesikia tu kwa wadau kuwa bei ya OPPO F5 ni bei hiyo,kwakuwa sina uzoefu na hii industry na ndo maana nataka kupata ushauri maana nisije angukia kwenye zenye poor quality.
cc Chief-Mkwawa
Also me too i using Oppo A3S single line from indian but it's already unlocked to use all network ,Nanunua hapahapa,nimesikia tu kwa wadau kuwa bei ya OPPO F5 ni bei hiyo,kwakuwa sina uzoefu na hii industry na ndo maana nataka kupata ushauri maana nisije angukia kwenye zenye poor quality.
cc Chief-Mkwawa
Alinambia ni XIAOMI REDMI NOTE 8 PROChief-Mkwawa naomba ushauri wako tafadhali,nahitaji simu ambayo ni high quality kadri ya budget yangu ilivyo,bajeti yangu ni kati ya 500k-550k,katika ufukunyuzi wa hapa na pale niliona watu wakiisifia sana OPPO F5 ambayo inauzwa around bei hiyo,nami nilipochimbua nikavutiwa specs zake.Izingatiwe kuwa nahitaji simu ambayo walau inatunza chaji na haipati moto coz mie ni mtumiaji sana wa internet,pia camera bora kwa ajili ya issue ya kuscan documents kiofisi zaidi.Kwa neno lako litanifanya nisibahatishe kununua simu.AHSANTE