Iphone kwa camera nzuri hana mpinzani?

Mkuu windows phone Ni Kama zimekufa, na hizo simu huwezi kuzipata mpya.

Kama Unataka ujikumbushe camera za Lumia nunua Huawei, japo Ni ghali Ila mtengenezaji wa pureview na Camera za Huawei Ni mmoja hivyo utaona similarities Nyingi.

Sema hizi pro models zenye camera nzuri nazo hazishuki Bei, inabidi uandae Kama dola 400, ngoja tuone siku zikienda Kama zitashuka zaidi.
 
Hii ni Oppo A3s Single line , upande wa Camera iko vzr sana
Upande wa Camera naikubali sana haswa nikitumia Potrait camera , simu inakimbiza mwaka haijawahi niletea shida ya aina yoyote .. kwenye betri iko njema sana.
Sina muda nimewasha data lkn ngoma toka imefuru jana usiku mpk sasa sijachaji ila ina moto mwingi sana
 
Nimeona hata fast charge ya one plus 7 pro ya 30W still inazidiwa speed na ya Note 10 pluls ya 25W.
Na hio Ni charger ya Kawaida ya 25W inayokuja na simu. Ukinunua ya 45W speed itakuwa balaa. Baada ya muda naona Samsung ametake lead kwenye upande wa kuchaji upesi.

Mimi natumia Hio Dash sio mbaya OnePlus pia wanajitahidi, build quality ya chaja na USB cable Ni nzuri Sana, unafeel kabisa unaweza kukaa nayo miaka na miaka.

 
Chief mkwawa izo simu walizo ziandika apo juu nimeona zina loose back ground ni kweli au
 
Yaah ni kweli...I guess ile 45W itakua superb
Na hii ndio speed zilizokua test kwny fast charging kwa baadhi ya flagship.
Na inasemekana kuwepo kwa hzo new power deliveries kumeboost sana speed yake...Nadhani ata kwny wireless charging kwa Note 10 ni 20W if am right.
 

Attachments

  • Screenshot_20190818-234817_Video%20Player.jpeg
    25.3 KB · Views: 33
One Plus wana products nzuri...tho kwa sasa hv kumekua na dhana wanaondokana na flagship killer to wallet killer...zamani walikua wanatoa flagship affordables but nowdays hawatofautiani sana na kina Samsung n still wanalack features muhimu kama Dust n Water resistant but all in all wako vzuri mkuu!
 
Ni kweli mkuu Kila toleo wanapandisha Bei, kwa Bei ya op7pro ambayo Ni almost 2m huwezi sema Ni simu ya Bei rahisi Tena.

Sema zinadrop Bei haraka op5 yenye 128GB internal na 8GB ram inapatikana around laki 6 Hivi ambayo Ni Bei nzuri.
 
Mkuu hizi ulizozitaja zimekaa kikazi zaidi, ila kama kwa matumizi ya kawaida iphone wapo vizuri sana kwenye camera
Kwa dunia ya leo unaponunua smartphone usiangalie camera pekee, kuna RAM, ROM na betri. Hiyo Lumia 1020 betri yake ndogo sana tena kama wewe ni ke hakufai maana ni Windows phone
 
Hii simu gani brother uliyopigia picha?
 
Hii nimepiga leo leo na iphone 5s
 

Attachments

  • 94661FEF-635F-499F-9A76-BB82F2698349.jpeg
    121.7 KB · Views: 41
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…