Iphone bila jailbreak ni kukosa mengi

Iphone bila jailbreak ni kukosa mengi

Nunua simu inayotoa hiyo delivery report, tatizo watu kabla ya kununua simu huwa hamuangalii mnahitaji nini kwenye simu ndio mwishowe mnaishia kujailbreak na kuroot!

Hujui unalolisema mkuu
Uki root au jailbrake utapata na kufanya vitu ambavyo hakuna mtengeneza simu yeyote anayevitoa
 
Hivi wewe unaamini utafanya vitu kumzidi aliyetengeneza simu!??

Sasa kama mtengeneza simu hataki kuweka delivery report na inawezekana kuiweka tatizo lipo wapi?

Kama mtengeneza simu hataki kuniwekea option ya kuchagua 2g au 3g tu matokeo yake napata tabu na uwezo wa kuiweka hiyo option upo tatizo lipo wapi?

Kama mtengeneza simu ananilimit mwisho mb100 kudownload kwa mobile data na mimi nipo sumbawanga sina namna ya kufanya kunabtatizo gani nikiiongeza hiyo option?

Kuyataja machache tu.........

Kwa mantiki hii jibu ni ndio kuroot au kujailbrake ni kufanya simu ifanye zaidi ya alivyoitengeneza mtengeneza simu

Na kwa taarifa yako Apple kila wakitoa ios mpya wanachukua mambo mengi sana toka kwa madeveloper wa jailbrake kujaribu ku discourage jailbreaking
 
Nunua simu inayotoa hiyo delivery report, tatizo watu kabla ya kununua simu huwa hamuangalii mnahitaji nini kwenye simu ndio mwishowe mnaishia kujailbreak na kuroot!

Huwezi pata kila unachohotaji kwenye simu yoyote utakayonunua ndio maana kila os ina tweeks na geeks zake kuanzia android, windows phone mpaka ios.
Kama wewe ni mtu wa kupiga na kutuma sms huwezi ona shida lakini kwa wanaotaka pata zaidi lazima uimodify simu kukidhi matakwa yako kwa kadiri inavyowezekana
 
Sasa kama mtengeneza simu hataki kuweka delivery report na inawezekana kuiweka tatizo lipo wapi?

Kama mtengeneza simu hataki kuniwekea option ya kuchagua 2g au 3g tu matokeo yake napata tabu na uwezo wa kuiweka hiyo option upo tatizo lipo wapi?

Kama mtengeneza simu ananilimit mwisho mb100 kudownload kwa mobile data na mimi nipo sumbawanga sina namna ya kufanya kunabtatizo gani nikiiongeza hiyo option?

Kuyataja machache tu.........

Kwa mantiki hii jibu ni ndio kuroot au kujailbrake ni kufanya simu ifanye zaidi ya alivyoitengeneza mtengeneza simu

Na kwa taarifa yako Apple kila wakitoa ios mpya wanachukua mambo mengi sana toka kwa madeveloper wa jailbrake kujaribu ku discourage jailbreaking

mimi simu yangu waliniwekea kila ukiwasha au ukizima simu lazima itoe mlio baada ya kuroot nimeitolea mbali pia nimetoa app ambazo sizitumii
 
Hakuna kitu Apple wananiudhi kama kutoweka option ya kuchagua kama unataka 3g only

Yaani EDGE ikiwa strong kuliko 3g basi muda wote unakuwa kwenye EDGe sababu automatic inachagua strogest signal speed inakua ya kobe
Nachukia kweli
 
even windows phone zipo hivyo, mi nilishazoea symbian 3g au 2g unaamua mwenyewe na sio simu. nili jipromise mwenyewe moyoni kama wasipoeka 3g only kwenye windows 10 ningehama windows phone, ila bahati nzuri wameieka. stock android pia haina 3g only ni oem tu kama kina samsung ambao wanaitweak android na kueka 3g only na 2g only.

kwa ufupi operating system za kimarekani haziendani na maisha yetu, vitu vingi wanavyo prefer wao huku kwetu havina maana na vitu vyetu tunavyopenda wao hawavitilii mkazo.
 
Wakuu nimefanikiwa kujailbreak ipad with Taig. Ila nashindwa kuweka mobile data iwe 3g only naombeni mwongozo
 
Back
Top Bottom