iphone 4s vs Sonyericsson Experia S

Ngongoseke

JF-Expert Member
Jan 1, 2012
3,203
1,462
Habari zenu wa JF naamini hapa kuna vichwa vya ukweli mtanisaidia hili,

Mimi nina experia S natumia android
na ndugu yangu ana iphone 4s anatumia apple,tumekuwa na ubishi sana kila mmoja anasifia yakwake hebu tusaidieni kitaalamu kabisa ipi zaidi?

Ahsanteni
 
mimi i love apple products....iphone4s for me is the best japokua android ndio zinauzika zaidi sasa hivi kwa sababu android software ziko kwenye simu nyingi tofauti compared na apple products iko kwenye iphone tu
 
Hayo masuala ni ya persona preference zaidi, kala individual ana os anayoipenda zaidi. Mimi napenda zaidi iOS, ANDROID kwangu hazina maana.
 
iOS ni kitu ingine wakuu, simu pekee ya android ambayo inanitia tamaa ni Samsung Galaxy S3
photo1.PNG
 
Attachments

  • photo.PNG
    photo.PNG
    228.2 KB · Views: 81
Android os wamekaa sikia hadi apple wanawaofia samsung sana hadi wanahanza sema wanawaibia dizaini but kiukweli android imekua open source na hakuna app nyingi za androids kwenye market(android) zaidi ya apple
 
Msipende kuwa na mawazo ya kukalili, Binafsi nilikuwa napenda sana symbia, baadae nkaamia kwenye iphone nikaangaika nayo mara kui jail break n.k baada ya nkajaribu na BB 9780 bold yaani hii ipo slow balaa, mwisho wa matatizo nkajaribu samsung s 2 powered by 1.2 Duo core cpu pushed by Andoid OS Ice cream sandwich yaani hapa ilikuwa mwisho wa matatizo......sasa nipo kwenye lg A290 hii ni ya line tatu original LG inauzwa bei ndogo yaani haizidi laki mbili na nusu ila battery life ni balaa mAh 1500 can you imagine hii battery ndio ipo kwenye galaxy s 2 ambayo ina duo core cpu ya 1.2GHz yaani hako kasimu ni noma.
 
Hapo mkuu hata mimi kwanza niliwahi kutumia iphone4 lakini toka nianze kutumia experia s android nawakubali sana
 
Nimetumia I phone na naipenda mpaka kesho, but android 4 ice cream sandwich sio mchezo, I use it my funbook tablet yaani balaa, na najichanga ninunua samsung S3 maana imepigwa ice cream sandwich ndani na processor ya kufa mtu, my sister use it yaani daily nampiga longo longo tubadilishane...

Apple asipoangalia soko litamshinda kama blackberry maana sasa hivi kila after 6 months android anatoa operating system mpya na applications za kufa mtu,, yaani kwenye tablet huwa namaliza bettry kwa kuichezea ice cream sandwich tu yaan full burudan ukiwa online una smile mwenyewe tu inavyoleta burudani
 
Msipende kuwa na mawazo ya kukalili, Binafsi nilikuwa napenda sana symbia, baadae nkaamia kwenye iphone nikaangaika nayo mara kui jail break n.k baada ya nkajaribu na BB 9780 bold yaani hii ipo slow balaa, mwisho wa matatizo nkajaribu samsung s 2 powered by 1.2 Duo core cpu pushed by Andoid OS Ice cream sandwich yaani hapa ilikuwa mwisho wa matatizo......sasa nipo kwenye lg A290 hii ni ya line tatu original LG inauzwa bei ndogo yaani haizidi laki mbili na nusu ila battery life ni balaa mAh 1500 can you imagine hii battery ndio ipo kwenye galaxy s 2 ambayo ina duo core cpu ya 1.2GHz yaani hako kasimu ni noma.

Hiyo nayo ni smartphone kaka?....OS yake ni gani?
 
Habari zenu wa JF naamini hapa kuna vichwa vya ukweli mtanisaidia hili,

Mimi nina experia S natumia android
na ndugu yangu ana iphone 4s anatumia apple,tumekuwa na ubishi sana kila mmoja anasifia yakwake hebu tusaidieni kitaalamu kabisa ipi zaidi?

Ahsanteni

Ingia www.geekaphone.com and make comparison n see which wine by facts sio hapa kila mtu anakuja tu na ushabiki.
 
Nimetumia I phone na naipenda mpaka kesho, but android 4 ice cream sandwich sio mchezo, I use it my funbook tablet yaani balaa, na najichanga ninunua samsung S3 maana imepigwa ice cream sandwich ndani na processor ya kufa mtu, my sister use it yaani daily nampiga longo longo tubadilishane...

Apple asipoangalia soko litamshinda kama blackberry maana sasa hivi kila after 6 months android anatoa operating system mpya na applications za kufa mtu,, yaani kwenye tablet huwa namaliza bettry kwa kuichezea ice cream sandwich tu yaan full burudan ukiwa online una smile mwenyewe tu inavyoleta burudani

Kweli si mchezo.
Android - Introducing Ice Cream Sandwich
 
Usikalili sio bora simu simu bora yenye kile unachokitaka, A 290 ni simu simple sana ila ina line tatu powered by 1500 mAh only hizo sifa ndio zimenivutia, smart phone nimeagiza SGS 3

Hiyo nayo ni smartphone kaka?....OS yake ni gani?
 
Icre cream sandwich nzuri for phones simu mpya nyingi za android zina run ice cream sandwich . ila kwa wale wa tablets Android wana tegra 2 & tegra 3 ..mimi nina tegra 2 nivdia graphics ina run honeycomb version 3 .2.1 kitu ni HD clear mpaka raha.. android ipo bomba
 
nyie wala msipate shida kugoogle wala nini kumbe simu mnazo wenyewe si mzitest?

-Nendeni sehemu yenye wireless conect simu zote mbili fungueni website moja mnaclick ok kwa pamoja itayofungua kwanza inapata point upande wa browser nzuri na speed ya internet.

-ekeni meza mbele wote mpige itakayotoa picha nzuri ina camera.

Rudieni hivo hivo kwa kila features video, sauti, kucheza game moja, na mtapata real comparison maana kuna kampun zina dual core feki
 
Back
Top Bottom