sapna. Posta jirani na azania bank. Gud luck.
ni 3g au 3gs mkuu nijulishe nikupe bei mkuuNina Iphone 3G imepasuka kioo. Wapi ninaweza kukitengeneza au kukibadilisha Jijini Dar?
Huyu jamaa anagonga sana bei. Alitaka kuniuzia charger ya I-Pod classic kwa shs 150,000 nikaenda kuinunua Namanga kwa shs 15,000 tu,Shopperz Plaza pale juu kuna baniani kibonge anauza vitu vya elecktronics
ni 3g au 3gs mkuu nijulishe nikupe bei mkuu