Iphone 3G

Iphone 3G

Dotori

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2007
Posts
544
Reaction score
28
Nina Iphone 3G imepasuka kioo. Wapi ninaweza kukitengeneza au kukibadilisha Jijini Dar?
 
Shopperz Plaza pale juu kuna baniani kibonge anauza vitu vya elecktronics
 
Nenda Kariakoo.,hao wahindi wa sapna wana bei mbaya.
 
Shopperz Plaza pale juu kuna baniani kibonge anauza vitu vya elecktronics
Huyu jamaa anagonga sana bei. Alitaka kuniuzia charger ya I-Pod classic kwa shs 150,000 nikaenda kuinunua Namanga kwa shs 15,000 tu,
 
Back
Top Bottom