Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,221
- 50,181
NakaziaSiku zote mtu asiyekua na hela akiona jinsi watu wenye hela wanavyotumia hela zao,huona kua ni matumizi mabaya ya hela au hawana akili.
😀😀
NakaziaSiku zote mtu asiyekua na hela akiona jinsi watu wenye hela wanavyotumia hela zao,huona kua ni matumizi mabaya ya hela au hawana akili.
😀😀
ni vile huna hela tu mkuu, million sio hela🤣😂😂Ila kuhonga simu ya zaidi ya milioni kisa utelezi nalo ni tatizo
Kipato tu mkuuIla kuhonga simu ya zaidi ya milioni kisa utelezi nalo ni tatizo
Mi ngoja nitulie kwa samsung tu, jamaa wako vizuri camera kali, storage kubwa, battery capacity 5000mAh inakaa na chaj had unasahau kuuliza kama umeme upo.iPhone 12 ni kama iPhone 11s
iPhone 14 ni kama iPhone 13s
iPhone 15 ndio italeta major changes kwenye design.
Refer 5 & 5s, 6 & 6s, 7 & 8, X & Xs.
Maono yangu tu.
Watasema tutafute hela, Samsung ni calculator sio simu.Mi ngoja nitulie kwa samsungu tu, jamaa wako vizuri camera kali, storage kubwa, battery capacity 5000mAh inakaa na chaj had unasahau kuuliza kama umeme upo.
Watu wanaokimbizana na matoleo ya iPhone wanakazi ngum sana maana matoleo mengi hayana mabadiliko makubwa zaidi ya kubadilishwa muonekano
ila kukojoa pazuri ni ghali mkuu,Ila kuhonga simu ya zaidi ya milioni kisa utelezi nalo ni tatizo
11 haifanani na 12,13,14 na sasa 15..iPhone 12 ni kama iPhone 11s
iPhone 14 ni kama iPhone 13s
iPhone 15 ndio italeta major changes kwenye design.
Refer 5 & 5s, 6 & 6s, 7 & 8, X & Xs.
Maono yangu tu.
Wamekuja wajukuu wa Steve Jobs hapa ngoja nitulie. 😁😁😁11 haifanani na 12,13,14 na sasa 15..
hii 11View attachment 2747696
na hii 12 angalia design yake.. View attachment 2747697
😅😅😅 nishatoka huko kwenye simu za daraja la juu.. sasa hivi naishi na simu za mitumba za mafungu.. kazi ya simu ni kupiga, pokea, tume message na kupokea basiWamekuja wajukuu wa Steve Jobs hapa ngoja nitulie. 😁😁😁
Kukimbizana na izi vitu utajiona masikini bure. Utapeleka iPhone 14 Pro yako Makumbusho kutop up watasema ongezea Mil 1.5 upewe 15 Pro Max. Hapo ndio utapojiuliza value ya simu yako ni tsh ngp?😅😅😅 nishatoka huko kwenye simu za daraja la juu.. sasa hivi naishi na simu za mitumba za mafungu.. kazi ya simu ni kupiga, pokea, tume message na kupokea basi
🤣🤣🤣hili nalo nenoKukimbizana na izi vitu utajiona masikini bure. Utapeleka iPhone 14 Pro yako Makumbusho kutop up watasema ongezea Mil 1.5 upewe 15 Pro Max. Hapo ndio utapojiuliza value ya simu yako ni tsh ngp?
Bana wee, haya mambo yanaenda na upenzi wa tech, sababu, na hela... Sie tunaona shida kwasababu tu reason sanaa mkuu.. tunachambua sana hadi unaona ulicho nacho kinatoshaa.. mfano RR ya mwaka 2023 utalinganisha na RR 2015 ... Ulaya waweke mashart simu ziwe zinatolewa matoleo kila baada ya miaka mitatu hivi wanakwiba hela za watuKukimbizana na izi vitu utajiona masikini bure. Utapeleka iPhone 14 Pro yako Makumbusho kutop up watasema ongezea Mil 1.5 upewe 15 Pro Max. Hapo ndio utapojiuliza value ya simu yako ni tsh ngp?
Usifanye biashara ya topup ata siku moja. Ni biashara ya kifala haujawahi tokea.🤣🤣🤣hili nalo neno
Kuna yale mafuta ya nazi nyoka anateleza pangoni kimasiharaVaseline zitaanza adimika kwa wingi sana
Sure. Waweke tu vigezo aisee. Kama wameweza kuforce jamaa wameweka charger Type C kama Samsung watashindwaje iyo.Bana wee, haya mambo yanaenda na upenzi wa tech, sababu, na hela... Sie tunaona shida kwasababu tu reason sanaa mkuu.. tunachambua sana hadi unaona ulicho nacho kinatoshaa.. mfano RR ya mwaka 2023 utalinganisha na RR 2015 ... Ulaya waweke mashart simu ziwe zinatolewa matoleo kila baada ya miaka mitatu hivi wanakwiba hela za watu
Mwakani watatoa nyingine. Ebu tukaushe. iPhone 5 iyo si inapokea simu. Ishi humo humo.😂😂😂 tuuze figo au vidole kaka?
Kwa simu waweke mashart, ni wizi wa mchana kweupe.. wawe wanatoa matolea mapya kila baada ya miaka miwili au mitatu haijalishi mtindo wa ulipaji wake.. ni kupigwa tu.. hapa Pixel 8 Pro wanatoa, watafatana hadi samsung.. tofauti ni ndogo sana.. walete simu inayopima ukimwi papo hapo.. hiyo itakuwa ina jipyaa 😅😅Sure. Waweke tu vigezo aisee. Kama wameweza kuforce jamaa wameweka charger Type C kama Samsung watashindwaje iyo.
Ingawa kwa wenzetu nasikia simu wengi hawanunui cash, wanakua wanakatwa kidogo kidogo mfano unaingia mkopo wa mwaka mmoja kila mwezi unakatwa Laki na Nusu hadi mwaka unaisha umeshalipia 1.8m simu inatoka nyingine unaingia tena Mkopo ile nyingine unaiuza.