IPhone 13 camera hamna kitu

IPhone 13 camera hamna kitu

Acha zako, walioanza kutoa refresh rate kubwa kwa flagship ni oneplus 7 pro ww

Hii simu aisee was the best, kwanza haikuwa na punch-hole ilikuwa na pop up cam..display murua, OP hapa walitengeneza kitu.. binafsi hii ni one of my favourite design since smartphones, well ukitoa Note 20 ultra sabab ya mahaba binafsi
 
Acha wivu kaka, apo mpinzani pekee ni pixel ila hao wote ni bure, yani unaweka adi Xiaomi
Watu wengi wanaoziponda apple hawajawah zitumia
Hiyo Xiaomi niliyotaja hata hujui.

Kuna mtu humu ndani tulishabishana sana nikamletea video ya Realme X60 pro plus vs Iphone 12 camera test. Alibadili mind yake.
 
iPhone 13 hii apa .............Kama umeamini Basi iPhone ni mazwazwa kwa hii simuView attachment 2122246
Hii ni note8 tena kama unavoona nimepiga nikiwa ndani wala si nje. Halafu kuna mapimbi yanabisha
20220219_102423.jpg
 
Wewe umewahi kumiliki hizo simu nilizokutajia hapo?

After all huenda nabishana na mtu ambaye hajui quality ya picha unaangalia vitu gani.
Nishawah miliki s6,s8,s9 na note8 kwa pamoja, baadae pixel 3 sahv nataka niingie pixel7 au 6pro kama ikishindikana, ila ndugu zangu ni wazee wa iphones, mi sizipend maana hazian uhuru na hazitaki mambo ya kujidownloadia movies ovyo na apps za kimageuzi,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom