42774277
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 6,836
- 8,874
What are you talking?Pixel 6 kwa normal picha ni superior kulko iphone, ila kwa portrait iphone 13 pro ni zaid ya pixel, thats the fact
Hizo picha nilizopost umezielewa vizuri.
Unasema Iphone ni nzuri kwa potrait wakati hapo unaona cleary kabisa iphone imeshindwa kuisolate Object.(kutofautisha glass na mazingira mengine).
Anakuwaje zaidi ya pixel?
Hizi takwimu mnazitoa wapi?

