IPhone 13 camera hamna kitu

hujatumia iphon mkuu
 
Iphone ni the best for video recording.

Ila when it comes to pictures anagaragazwa na simu nyingi sana.

Pia before iphone 12, Iphone ilikuwa simu ya hovyo sana kwenye low light images.
Ko unabishana na ukweli
 
Yes na ni saatatu asubuhi nimepiga kuelekea mashariki linapotoka jua, pic umeionaje?
Kali saaana.

Nishawahi kuichukua samsung s flani hivi, hata s8 haikufika. Nikaipambanisha na Iphone 8+ kipindi hiko ndo zimetoka tu, niliipambanisha eneo la camera. Tofauti ilikuwa ni ndogo, lakini ukija eneo la kutumia flash ktk camera, samsung kampiku Iphone.

Kuna muda naona hizi iphone watu wanazioverrate mno lakini mimi naona Android ni mziki mwingine. Sana sana hizi samsung devices ni moto mwingine.
 
Si wajapan tunawaangalia wa US wanavyojitutumua na majeneza yao
 
ushamba wetu tu ndio unatuponza, Iphone anauza brand tu pale...samsung upate grade A kutoka korea penyewe, note 9 yangu kwenye camera naikubali sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…