iPhone 11... kuvunja rekodi?

Mkuu ndio maana nikakuomba ushauri niiwekeje kitaalam?

Ainisha vitu kwa kuvilinganisha na vya sasa mkuu mf. Betri inakaa na chaji wiki
, kamera labda inachukua picha, video na animation
, unaweza weka paswod kwa fingerprint, jicho, sauti na hisia
, ina uwezo wa kutambua hisia ya mmiliki wake akiishika

Kitu kama hichi mkuu jaribu kutiririka itavunjaje rekidi
 
Kumbe iPhone wamefika kwenye 6GB RAM?
 
Kuna mtu anaweza jaza 512GB kwenye simu?
Sio kazi kujaza 512GB mkuu.

Chukulia mfano simu yako Ina record 4K video dakika kidogo tu inaweza kula 10GB, hasa ikiwa Ni 4K 60 fps,

Wale wanaochukua picha kwa raw, pia wanahitaji storage kubwa,

Games za simu Sasa Hivi ukikuta game Kali Ni 2GB+

Ukikitendea haki kioo chako Cha QHD na unadownload content zake inakula nafasi Sana. YouTube video ya dakika chake kwa 4K 60 fps unakuta Ni zaidi ya GB 3.
 
wakifanya apple ni best,ila wengine ni nonsense.

leo 2019 mna kioo cha 720p,mnaona hakuna haja hata ya 1080p,siku apple wakiwapa.kipofu anakuwa ameona mwezi.
 
wakifanya apple ni best,ila wengine ni nonsense.

leo 2019 mna kioo cha 720p,mnaona hakuna haja hata ya 1080p,siku apple wakiwapa.kipofu anakuwa ameona mwezi.
Sijui kama ulikuwa ukinifuatilia huko before kitu gani ambacho nilikuwa nakizungumza.

Labda nikuulize swali moja,

Alietumia lita moja ya mafuta kwenda 16KM na alietumia lita 4 kwenda 16KM nani kwako unaona yupo vyema?
 
As usual Apple fan, mpaka kitu afanye apple ndio kinahitajika, si ulikuwa unasema simu haihitaji ram kubwa?
 
As usual Apple fan, mpaka kitu afanye apple ndio kinahitajika, si ulikuwa unasema simu haihitaji ram kubwa?
If it can be done with less Rams, do you need more rams? That is a waste of resources
 
Sijui kama ulikuwa ukinifuatilia huko before kitu gani ambacho nilikuwa nakizungumza.

Labda nikuulize swali moja,

Alietumia lita moja ya mafuta kwenda 16KM na alietumia lita 4 kwenda 16KM nani kwako unaona yupo vyema?
kama vigezo vyote vitakuwa sawa,wa lita moja atakuwa vyema.isijekuwa ni scania vs toyota land cruiser.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…