Ipe maneno hii picha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ipe maneno hii picha

Discussion in 'Jamii Photos' started by MWANA WA UFALME, May 2, 2012.

 1. MWANA WA UFALME

  MWANA WA UFALME JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2012
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 578
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwalimu.jpg hapa ndio enzi za mwalimu, je kwa hali iliyopo historia kama hii yaweza kujirudia?
   
 2. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #2
  May 2, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  utumishi bora
   
 3. MWANA WA UFALME

  MWANA WA UFALME JF-Expert Member

  #3
  May 2, 2012
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 578
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sure, leading by example
   
 4. Zuia Sayayi

  Zuia Sayayi JF-Expert Member

  #4
  May 2, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 834
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mfumuko wa bei ya mafuta ya petrol
   
 5. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #5
  May 2, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,537
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  hii ni baiskeli ya swala aliyopewa zawadi na National Bicycle Company ( NABICO) ya Mwenge Dar es Salaam.
   
 6. Msambaa mkweli

  Msambaa mkweli Senior Member

  #6
  May 2, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kiongozi wa watu.
   
 7. MWANA WA UFALME

  MWANA WA UFALME JF-Expert Member

  #7
  May 2, 2012
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 578
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mambo ya kubana matumizi ya serikali hapa. Badala ya kutumia mashangingi, siku hizi zipo hata bajaj
   
 8. MWANA WA UFALME

  MWANA WA UFALME JF-Expert Member

  #8
  May 2, 2012
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 578
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna tofauti ya uongozi na ufalme, hapa ni mfano bora wa uongozi.
   
 9. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #9
  May 2, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,363
  Likes Received: 6,701
  Trophy Points: 280
  hapa atakuwa alikuwa bado ni mwalimu pale Pugu!!maisha ya walimu hayo!!
   
 10. MWANA WA UFALME

  MWANA WA UFALME JF-Expert Member

  #10
  May 2, 2012
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 578
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Age ilikuwa imeshaenda hapo, Ungecheck picha yake wakati anachukua nchi alikuwa bado young. Hapo alikuwa tayari ni kiongozi wa nchi.
   
 11. Nduka Original

  Nduka Original JF-Expert Member

  #11
  May 2, 2012
  Joined: Aug 3, 2011
  Messages: 753
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kakosa hela ya kiwese ya kuweka kwenye 109 akaamua kuchukua bike lake. Lol
   
 12. Thanda

  Thanda JF-Expert Member

  #12
  May 2, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,915
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Naikubali, mtoto wa mfalme uko vizuri, kweli age ya Mwl. aioneshi kuwa alikuwa bado ni mwalimu pale Pugu.:first:
   
 13. MWANA WA UFALME

  MWANA WA UFALME JF-Expert Member

  #13
  May 3, 2012
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 578
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hela ya uma ilikuwepo ila ilikuwa imekwenda kuanzisha viwanda ambavyo sasa vimefilisiwa
   
 14. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #14
  May 3, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,343
  Likes Received: 1,806
  Trophy Points: 280
  Hakufikiria kama ipo siku serikali itamiliki magari ya trillion tatu. Na bado wanakazana kununua mengine.
   
 15. G

  Galaticos Member

  #15
  May 3, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 81
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Tatizo ni hizi VX V8 hata afisa wa kawaida anataka awe nayo... mwl...kiboko... aliongoza kwa mifano anuwai...
   
 16. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #16
  May 3, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,984
  Likes Received: 1,906
  Trophy Points: 280

  kiongozi asiyetaka kufa kwa mapresha na sukari kwa kukwepa kupanda magari na kupenda kutumia baiskeli kama njia ya mazozezi. Hivi lakin mbona mwalim hakuwahi kunenepa kama akina mkapa??????? au malima na kepteni komba? je ni mwili tu au ni stail ya maisha aliyokuwa nayo?
   
 17. MWANA WA UFALME

  MWANA WA UFALME JF-Expert Member

  #17
  May 3, 2012
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 578
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Baada ya ubepari kuwa na nguvu dhidi ya ujamaa, mawazo hayo yalianza kutoweka taratibu
   
 18. MWANA WA UFALME

  MWANA WA UFALME JF-Expert Member

  #18
  May 3, 2012
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 578
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sure, siku hizi uongozi mtu yupo tayari kutoa roho aupate. Dhana ya mwalimu enzi hizo uongozi ni dhamana wala sio kitu cha kukimbilia.
   
 19. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #19
  May 3, 2012
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  I wish kumwona bwm jmk akiwa juuya hii kitu
   
 20. MWANA WA UFALME

  MWANA WA UFALME JF-Expert Member

  #20
  May 3, 2012
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 578
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hahaa, itakuwa ngumu kuona hili kwake, time has gone.
   
Loading...