HOMOSAPIEN
JF-Expert Member
- Mar 31, 2011
- 745
- 273
Ningependa kumuona x-ben Nk.....p akiendesha bicycle,ingekuwa picha ya enzi lakini hii ya sasa inaonesha kweli ni mtoto wa mkulima kwa vitendo
Ningependa kumuona x-ben Nk.....p akiendesha bicycle,ingekuwa picha ya enzi lakini hii ya sasa inaonesha kweli ni mtoto wa mkulima kwa vitendo
Kiongozi aliyeyaishi maneno yake na falsafa!
Kwa kitendo cha kuendesha baskeli anaonyesha kuwa hapendi makuu,anajishusha.
Hela ya uma ilikuwepo ila ilikuwa imekwenda kuanzisha viwanda ambavyo sasa vimefilisiwa
Then yule mtoto wa Chigwiyemisi anasema mwalimu alikuwa hajui uchumi!!
Kweli walisema waswahili, mwenye shibe hamjui mwenye njaa!!
Yeye anawaza shibe yake tu......!!?
Ubunge atausikia tu ..... kula kulala!
....................
mtu acyependa kujikweza
Inaonyesha umakini wa kule aendako kwa ku - "balance" mwendo- mapato
Mwalimu alikuwa wa ukweli!!!!!
Kama alikuwa teyari rais kweli nimemkubali kambarage wa watu na i miss him so so so much