Ipe maneno hii picha

Ipe maneno hii picha

MWANA WA UFALME

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2010
Posts
578
Reaction score
144
mwalimu.jpg hapa ndio enzi za mwalimu, je kwa hali iliyopo historia kama hii yaweza kujirudia?
 
hapa atakuwa alikuwa bado ni mwalimu pale Pugu!!maisha ya walimu hayo!!
 
hapa atakuwa alikuwa bado ni mwalimu pale Pugu!!maisha ya walimu hayo!!
Age ilikuwa imeshaenda hapo, Ungecheck picha yake wakati anachukua nchi alikuwa bado young. Hapo alikuwa tayari ni kiongozi wa nchi.
 
Kakosa hela ya kiwese ya kuweka kwenye 109 akaamua kuchukua bike lake. Lol
 
Naikubali, mtoto wa mfalme uko vizuri, kweli age ya Mwl. aioneshi kuwa alikuwa bado ni mwalimu pale Pugu.:first:
 
Hakufikiria kama ipo siku serikali itamiliki magari ya trillion tatu. Na bado wanakazana kununua mengine.
 
View attachment 53256hapa ndio enzi za mwalimu, je kwa hali iliyopo historia kama hii yaweza kujirudia?


kiongozi asiyetaka kufa kwa mapresha na sukari kwa kukwepa kupanda magari na kupenda kutumia baiskeli kama njia ya mazozezi. Hivi lakin mbona mwalim hakuwahi kunenepa kama akina mkapa??????? au malima na kepteni komba? je ni mwili tu au ni stail ya maisha aliyokuwa nayo?
 
Hakufikiria kama ipo siku serikali itamiliki magari ya trillion tatu. Na bado wanakazana kununua mengine.

Baada ya ubepari kuwa na nguvu dhidi ya ujamaa, mawazo hayo yalianza kutoweka taratibu
 
Tatizo ni hizi VX V8 hata afisa wa kawaida anataka awe nayo... mwl...kiboko... aliongoza kwa mifano anuwai...

Sure, siku hizi uongozi mtu yupo tayari kutoa roho aupate. Dhana ya mwalimu enzi hizo uongozi ni dhamana wala sio kitu cha kukimbilia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom