Ipe maneno hii picha (Dk. Slaa na Zitto)

Zitto atakuwa anasema 'dah maliza kubwabwaja basi tuondoke' lol
 
Zitto hana hamu, afanye nini? "maji ukisha yavulia nguo, inabidi..."
 
Kivipi mkuu FF?

Huyo Mzee wa kanuni anaongea vitu tofauti na walivyokubaliana. Halafu anamshangaa kwani huyo Mzee juzi katoka kuzuwa Malaria, sasa Zitto anajiuliza "huyu Mzee kishapona kweli?"
 
MImi nadhani mh Zitto anajiuliza kama atapata nguzo ya kusimamia kwenye msimamo wa kaziza 2012 za CDM
Huyo Mzee wa kanuni anaongea vitu tofauti na walivyokubaliana. Halafu anamshangaa kwani huyo Mzee juzi katoka kuzuwa Malaria, sasa Zitto anajiuliza "huyu Mzee kishapona kweli?"
 
Namuona Zitto kama hakubaliana na Padri vile. Tusubiri, tutaona mwisho wake.
 
slaa: ...sometimes mnapaswa kutia akili vichwani mwenu!!................. ebo!!...................
zito: ..... huyu hanijui eeh, ................hivi nikimtandika kichwa kimoja ataamka kweli??..................
 
Tunatakiwa tufikiri kwa kutumia akili siyo masaburi
 
Msojua watu wenye malyenge ndo mnajichanganya, zito wala hajamuangalia dr. Ye kaangalia mbele, angalia jicho la kulia pia la kushoto
 
Watz uchonganishi ungekuwa kipimo cha maendeleo mngekuwa mbali sana kuliko wachina.
 
Zitto hapo anatamani ndio angekuwa katibu mkuu
 
Leo hii nimezibamba nyaraka za Rais wenu na waziri wa Maliasili mimi noma natisha Tumieni akili nipeni Uraisi 2015
 
Zitto hana hamu, afanye nini? "maji ukisha yavulia nguo, inabidi..."
Hana hamu na nini wakati CDM imemukuza wewe nafikiri humjuwi zitto,ni kijana anatumia akiri sana ,hapa anajua kinachosema ni kweli na hakika kuwa watanzania tunaonewa na tutakisha kwa ufisadi huu.
 
Zito!natamani niwe kichwa kama Slaa!Slaa!Tumieni akili msitumie masaburi kufikiri na kutatua mambo!Think big!
 
Hapo Zitto, anaonesha kabisa "... huo" na dalili ya mtu anapoongea akijikuna kichwa? mtajaza wenyewe.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…