Dah!! mbona huyu jama anamdhalilisha mshikaji wangu JK!!??
Any way ni nadra sana kumuona Zitto pembeni ya Slaa/Mbowe kwa hiyo inapendezea sana..lakini nina wasiwasi pia kwamba huenda zITO amesoma alama za nykati kwa wenzie na hivyo kuanza kujisogeza....BIG UP ...KIMSING Watz hatupendi kusikia yanayoendelea katika medani ya siasa kwani yanarudisha nyuma maendleo ya nchi yetu kiuchumi, kisiasa (kidemokrasia),na hata kijamii