Ipatie maneno picha hii: JK na rawlings

Shadow

JF-Expert Member
May 19, 2008
2,897
671
Rais Jakaya Kikwete akifurahia jambo na Rais Mstaafu wa Ghana Mheshimiwa Jerry Rawlings wakati wa kikao cha Marais na Wakuu wa Nchi za Jumuia ya Afrika kinachofanyika Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 30.1.2011.

sosi: ikulu
 
"hahahaha...hongera mkuu, mi hata sijui nacheka nini, ila tunapigwa picha so cheka na wewe tuonekane tuna furaha na hakuna bifu....hahahaha"
 
RAWLINGS: Aisee, vipi mzima...sisi huku kaskazini matumbo moto bwana...wananchi wamekuja juu sana ha..ha..haaaa!
KIKWETE: Da..Kaka kwani kwako hakuna FFU?...Twanga tu wakikuletea za kiswazi!
 
Kudesa kwa zamu:

BABA:
kikwete2.jpg

MAMA:

20080829-4_p082908sc-0099-515h.jpg

BABA TENA JUZIJUZI TU:

rais+na+Kikwete+na+Hosn+Mubarak.JPG
 
Kudesa kwa zamu:

BABA:
kikwete2.jpg

MAMA:

20080829-4_p082908sc-0099-515h.jpg

BABA TENA JUZIJUZI TU:

rais+na+Kikwete+na+Hosn+Mubarak.JPG

Duh! hapo na Mubarak : nahisi Mubaraki alikuwa anamwambia kwamba mapolisi yangu nahisi yamejisahahu baada ya miaka 30 ya utawala wangu mshikaji...naogopa pipoz powa!
 
Rais Jakaya Kikwete akifurahia jambo na Rais Mstaafu wa Ghana Mheshimiwa Jerry Rawlings wakati wa kikao cha Marais na Wakuu wa Nchi za Jumuia ya Afrika kinachofanyika Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 30.1.2011.

sosi: ikulu
Rawlings: Vipi nasikia Slaa ulimpiga bao la kisigino
JK: Ataniweza wapi yule, na ningeshindwa kuchakachua ningetumia nguvu za giza, si unajua sheikh yahya alikuwa nyuma yangu tehe tehe tehe.
 
JK: Hebu ulifanyaje vile hadi nchi yako inasifika kwa demokrasia na vita dhidi ya ufisadi?

RAWLINGS: Kazi rahisi sana, unakumbuka nilipoingia tu madarakani nikawafyeka kwa risasi marais wote walionitangulia waliokuwa hai ambao kila mmoja wao alikuwa na madhambi makubwa ya ufisadi na walikuwa wakilindana ile mbaya. Hiyo ndiyo siri ya mafanikio ya Ghana ya sasa na unaweza ukitaka kuazima ukurasa kutoka kwangu.....
 
Asante Mkuu Zak. Huyu jamaa yetu hawezi kitu kama hicho> Kuwafikisha mahakamani mafisadi wa kawaida kwake ni dili kubwa, sembuse hilo unalosema? Mwenyezi Munga huumba viongozi wa aina ya kina Rawlings wachache sana, labda katika bara hili la Afrka hutokea watu kama wwawili au watatu hivi kila baada ya miaka 50. Murtala Mohammed, Thomas Sankara (najua ndiyo sababu ya kutumia avatar yake) na labda Nyerere tu. Wengine wote ni mafiosi tu wa rangi nyeusi.
 
mzee kwakuwa kule kwangu wajinga wengi,wangekuwa na elimu ya kutosha mmmmmmmmhhhh,wangeshanitimua tangia october 2010.
 
teh tehe tehe,...tafadhali mkuu usiondoke mpaka mpiga picha wangu atupige picha ili wabongo wanione kuwa nakubalika kimataifa!!teh tehe tehe teh unajua wanasemaga mi kilaza
 
Duh! hapo na Mubarak : nahisi Mubaraki alikuwa anamwambia kwamba mapolisi yangu nahisi yamejisahahu baada ya miaka 30 ya utawala wangu mshikaji...naogopa pipoz powa!

Alimuuliza noma ikisanuka huko Tz kuna mapori ya kujificha, akamjibu ipo-Serengeti kuna hoteli hata mfalme wa saidi arabia ndipo anaponywea bia
 
Rawling: Nasikia Tanzania yako ni Jamvi la Wageni na Eti Madini wanauzwa kama Njugu?

JK: Hapana Hapana Hapana , wale ni wawezekaji si unajua Nyumba nyingi hazijawezeka mabati, Oh sorry wawekezaji Madini wanaenda kuyasafisha yatarudishwa hivi karibuni kama Vyura vya Kianzi!!!
 
Mbarak: j naweza kupata kakiwanja japo mita laki3 niweke kambi ya wajeda wangu?nasikia umempa braza bushi kule kigamböni. Jk: bro wale wambea sijampa bushi bure anakuja kuchimba uranium tunabadilishana na vyandarua na shule za kata,vp muba una commission kdogo nkupe maliasili? Mubaraka: Vp ule mkwanja wa Dowans umevuta? Jk: dah kuna jamaa mnonko anaitwa slaa kashatia mkono! Washkaji wamenitetea bado!ila kizaini tutailamba tu! Mubarak: j kama vp baadae,nawahi job,huku si kama bongo ukicheza tu wananchi aho nje wanakusubiri. Jk: mi bado nazuga huku,ntamcheki na bro pale Sudan na kisha narejea bongo. Poa basi we endelea na job.
 
Ile picha ya mama s: mama sie tumekuja kuemea uku na mme wangu vp kunaeleweka? Mwenyeji: usikonde mama wewe tena!vp vyandarua vimeisha nlivokupa? Mama s: da ngoja nimcheki shosti pale manyoni,mana tumempa uDC na tumempa kazi ya vyandarua juzi.
 
Rawlings kamwingilia Kikwete mapema mapema kwa sababu ya urafiki wake na Gbagbo... Jerry Rawlings ana nyumba na mali nyingi Abidjan. Gbagbo aliwasaidia akina Atta Mills na JJ Rawling na fedha kibao kwenye uchaguzi wa Ghana 2007 ..That Simple, May JK not fall for this comedian
 
Mbona sioni kiongozi hata mmoja mwenye askali myuma yake au huku kwenu TZ hamna intelijensia ya kutosha!!!!!
 
Rais Jakaya Kikwete akifurahia jambo na Rais Mstaafu wa Ghana Mheshimiwa Jerry Rawlings wakati wa kikao cha Marais na Wakuu wa Nchi za Jumuia ya Afrika kinachofanyika Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 30.1.2011.

sosi: ikulu

Huyo jamaa mwenye yunifomu ya kijani anaonekana kuwa busy kuliko boss wake.
 
Hata mimi huwa najiuliza sana mbona marais wa nchi nyingine huwa siwaoni walinzi wao kama huyu wa kwetu kila mahala anaonekana yuko kwenye sare hiyo ya kijani? Hebu naomba mnisaidie kuelewa diplomasia za nchi nyingine.
 
Back
Top Bottom