Ipatie maneno picha hii: JK na rawlings

hata marais wengine wanamshangaa huyu askari kwa maana hana suti na anahangaika tu! Hiyo ni kuthibitisha kwamba mkwele hayupo madarakani kihalali, anajilinda hata pasipotakiwa kufanya hivyo!
 
Hamuoni hiyo mikono jamaniyaiiiiiiiiiiiiiiii! Freemansos cheki kwenye Intelligence forum mama yaneeee! uwio

Rais Jakaya Kikwete akifurahia jambo na Rais Mstaafu wa Ghana Mheshimiwa Jerry Rawlings wakati wa kikao cha Marais na Wakuu wa Nchi za Jumuia ya Afrika kinachofanyika Addis Ababa nchini Ethiopia tarehe 30.1.2011.



sosi: ikulu
 
Back
Top Bottom