iPad ya samsung inahitajika

iPad ya samsung inahitajika

Mlima meru

Senior Member
Joined
Dec 30, 2012
Posts
114
Reaction score
20
Wadau,
nahitaji iPad ya Samsung inayotumia laini ya sim (sim card)
Kama unayo SAmsung Model GT - P5100 au nyingine yeyote naomba uni pm;
Mimi niko Arusha
 
Samsung Galaxy Tab 2 10.1 P5100, ipo lakini itachukua siku 4 hadi 5 kukufikia, brand new!!
 
Wadau,
nahitaji iPad ya Samsung inayotumia laini ya sim (sim card)
Kama unayo SAmsung Model GT - P5100 au nyingine yeyote naomba uni pm;
Mimi niko Arusha

Jamaa huyu ni muungwana sana na anahitaji kuelemishwa tu na sijaona yyt aliyefanya hivyo hapa!

Mlima meru:Ipad ni patent right ya apple products na bidhaa kama hiyohiyo ikiwa na patent right ya Samsung inaitw tablet!

Kwenye functioning hujakosea zote zinafanya kazi inayofanana kwenye specifications tofauti!
 
Duuu IPad ya Samsung yani kampuni mbili tofauti wameungana wametoa kitu IPad Samsung 1
 
Ninayo, nipigie no 0713 306263.Naiuza laki nane na nusu. Ni toleo la mwanzo Kabisa. Nimeinunua 2011. IKO COMPLETE KWENYE BOX LAKE NA BLUE TOOTH EAR PEACE. NI 18GB. HAINA SRUCH WALA HAIJAWAHI KUANGUKA. BADO NI MPYA KABISA. INA COVER LA NGOZI.
 
Mlima Meru alitaka tuelewe (complete communication) tumeelewa na sasa anapelekewa iPad Samsung aliyoihitaji.
 
Acha ushamba hakuna iPad ya Samsung kwasababu iPad ni business name ya apple cop.
 
Hajakosea, ni samsung iliyo mfano wa Ipad.

Mbona kuna vitu vingi vinajulikana kwa majina ambayo si yake? "daladala"?
 
Hivi Tablet kwa kiswahili inaitwaje?Kuna neno nimeliona linatumika kwa kasi siku hizi wanasema Computer mpapaso ndiyo hiyo inamaanisha TABLET au hiyo inamaanisha Smart-PC/ computer za touch screen??
 
Ninayo, nipigie no 0713 306263.Naiuza laki nane na nusu. Ni toleo la mwanzo Kabisa. Nimeinunua 2011. IKO COMPLETE KWENYE BOX LAKE NA BLUE TOOTH EAR PEACE. NI 18GB. HAINA SRUCH WALA HAIJAWAHI KUANGUKA. BADO NI MPYA KABISA. INA COVER LA NGOZI.

Haina sruch?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Duuu IPad ya Samsung yani kampuni mbili tofauti wameungana wametoa kitu IPad Samsung 1

The good thing is: message delivered. Kinachoendelea ni league tu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom