iPad ya samsung inahitajika

iPad ya samsung inahitajika

Asante kwa kunisahihisha..hapa natumia iPad old model lie Isiyo tumia lain (wifi only) ndio sababu nikajichanganya
naomba bei...Mimi nataka ya bei poa mtu aliyetaka kubadilisha.
samsung dealer Nairobi wanauza shiling za Tanzania laki nane; wewe unauzaje?
 
Pm umeipata mkuu? Zungumza sasa
 
Nashukuru kwa maoni ila Kama sio ya udalali naomba muweke bei au in pm
 
mkuu zinaitwa tablet na si ipad
Aaaahhh mbona watu wanasemaga naenda sheli..kimsingi ni kampuni ya mafuta ya kizungu(shell) ambayo ilishaamsha kipindi sana....ila jamaaa ametisha ipad ya samsung...!!!
 
Back
Top Bottom