joramjason
JF-Expert Member
- Jul 15, 2011
- 425
- 132
Jamani naomba msaada nilijailbreak kama miaka 2 iliyopita ikiwa na iOS 6.0.1 nikawa naweza install various paid application but last year mwezi wa 12 nikona ngoja niiupdatw software kwenda ios 7 but bahati nilidownload na wakati na install imestuck kwenye recovery mode na inaleta error 3194. Please anyone mwenye idea maana nimejaribu google various solutions but baona hakuna mafanikio. Now bataka niiformat tu hata kama ntapoteza all of my previous docs.