Ipad on recovery mode

Ipad on recovery mode

Maranyingi ukishajailbreak iPhone yako ukitaka kuUpdate ni bora kuDownload ios file unayotaka seperately alafu ukaRestore hiyo firmware kupitia iTunes. UkiUpdate over the air inaweza stuck kwenye recovery mode wakati wa installation. Hiyo Error 3194 huwa inatokea kama kuna matatizo yafuatayo;
1. iTunes Version unaitumia sio latest version hivyo unatakiwa kuiUpdate!
2. UnaRestore firmware ambayo sio latest firmware ya simu yako na server za Apple zikagundua hivyo therefore restoration process ikawa declined. mfano: latest ios sasahivi ni ios 7.0.4 na wewe unataka kuweka ios 7.0.1 kwenye iPad yenye ios 6.0.1,,kinachotakiwa hapa ni kubadilisha 'hosts' file kwenye computer yako ili restoration process isipitie kwenye Apple Server,,
3. Inawezekana Antivirus unayotumia imeBlock host file. unachotakiwa hapo ni kuDeactivate Antivirus then uiActivate baadae au kuondoa option yeyote inayoblock hosts files..

Nimefaidika sana na mchango wako huu, you're a really great thinker dude !!
 
NimeResfresh hyo link ya hizo firmware nilikuwa nimeweka za iPhone. nadhani tatizo lipo kwenye hosts file na ndio sehemu inayosumbua sana wakati wa Restoration. Kama unataka kuweka latest firmware ios 7.0.4 sidhani kama tiny umbrella inahitajika sana kwasababu inachokifanya ni kudownload ssh blobs za ios unayotaka from cydia au kuSubmit hizo blobs kwenye cydia server ili uweze kurestore hiyo ios. Hizi blobs ni muhimu sana kama unataka kuDowngrade au kuUpdate to a specific version. Lakini kama unaweka latest ios hautahitaji hizo blobs,,
Okay i still downloading ios. Internet connection here is not that much faster maana ni 1.3 GB. Nimeziona pale kwenye menu bar
 
Okay i still downloading ios. Internet connection here is not that much faster maana ni 1.3 GB. Nimeziona pale kwenye menu bar
Kama itunes ni latest, antivirus haileti interference, hosts file zipo vizuri na internet connection ipo sawa sidhani kama itasumbua tena kuRestore. ikigoma, unaweza jaribu kudelete ile address ya gs.apple uliyoiongeza kwenye hosts file iache ibaki kama mwanzo then restore. All the best.
 
Back
Top Bottom