IPad 32GB

IPad 32GB

Mnandi

Senior Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
156
Reaction score
26
iPad 32GB (WiFi + 3G), firmware 5.0.1 application zaidi ya 70 kwa bei ndogo. ni nzuri kwa matumizi ya ofisini, emailing, gaming, social networking na vilevile ni unlocked inaingiza line mitandao yote. nimeitumia ofisini miezi miwili nanusu bado ipo safi sana. bei 720,000/= nitafute (0788745656 au 0764852674), Dar es Salaam...
14409bb.jpg
d5zkl.jpg

em328.png
8wwi34.jpg

qnmfr4.png

5wxaoi.jpg
 
Washwahili bana ukiweka bei kubwa shida,ukiweka bei ndogo mchina,jamani hili ni soko huria bei inategemea na hitaji,je huenda huyu ndugu anauza bei ndogo ili apate hela hiyo aongezee na nyingine anunue kitu kingine,au pia ana shida ya ghafla na kimfaacho mtu ,ni kitu chake,pia huenda kakichoka tu.kuna mambo mengi au bado tuna imani zile za baba zangu miaka ya 40 ambapo ubora wa kitu unathamanisha na bei yake?kwa taarifa tu hebu muenda yale maduka ya pale Mlimani yanayouza Laptops linganisha na bei zake kwa model hizo hizo na zile zinazouzwa City Centre(zote ni genuine na zina warrant)hapo ndio mjue utofauti wa bei huchangiwa na vitu vingi na zaidi na mwenye kitu ndie anajua auze kitu chake kwa bei gani
 
Utazikuta K-Print mpya kwa bei hiyo hiyo. Au imeinunuwa pale? Bei yako ya mwisho?
 
ni kweli kabisa unayosema, nina deni nadaiwa sasa mali ya kuuza isiyo na umuhimu sana ni hiyo ndo maana bei ipo chini sana watu hawajagundua,,,
 
Utazikuta K-Print mpya kwa bei hiyo hiyo. Au imeinunuwa pale? Bei yako ya mwisho?

K-Print iko maeneo gani mkuu, mimi pia nahitaji sana hii kitu. Na je, wanauza Genuine?
Thanx
 
720,000/= unaipata leo hii na accessories zake..
 
Back
Top Bottom