Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,443
- 10,782
- Thread starter
- #21
Kuna kitu Fearless ya Jet li japo ya kitambo nayo murua!Zote 4 ni bomba part 4 boyka kachezea kichapo hatari
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kitu Fearless ya Jet li japo ya kitambo nayo murua!Zote 4 ni bomba part 4 boyka kachezea kichapo hatari
Napendaga vile vingumi vyake vya speed ya radi, lazima utepete tuu!!!Jamaa anaondoka baada ya dk nne tyson anatoka anamuangalia haamini kama jamaa kapangua kombora zote zile aisee.
Donnie yen ni muigizaji mzuri sana wa action
ile ngumi ya mwisho kabla ya kengere kulia aliyorusha tyson chini ya kidevu cha donie yen.Jamaa anaondoka baada ya dk nne tyson anatoka anamuangalia haamini kama jamaa kapangua kombora zote zile aisee.
Donnie yen ni muigizaji mzuri sana wa action
Yap nishaikumbuka hiyo spl kiukweli walipata msala kina tony na mwenzake saimon yung jamaa alikua hapigiki
Alishangaa sanaa bwana tyson.ile ngumi ya mwisho kabla ya kengere kulia aliyorusha tyson chini ya kidevu cha donie yen.
doni kaizuia ile ngumi lkn tyson kuangalia chini ana kuta kuna teke limepiga break kwenye pumbu
Sent using Jamii Forums mobile app
kuna muvi niliona juzi ya kiindonesia amecheza dogo anaitwa ramaa!huyu dogo muvi zake ni kali sana na mkono mwanzo mwisho hamna stori.
Donnie Yen nilimpenda kwenye movie ya In the Line of Duty 4.Kama hujaziona IP Man zote nne fanya kuzitafuta, Humu Don Yean anaonesha umuhimu wa hekima, busara na kupinga uonevu! Jamaa ni very simple guy with nice family, lakini upiganaji wake unaangusha mijabali!
Tafuta ufurahie maisha!
aliecheza muvi za THE RAID na MILE 22Ramaa ndo yupi.
Taja jina la movie
aliecheza muvi za THE RAID na MILE 22
km unapenda mkono tafuta muvi yke mpya nimisahau jina ila niliichek ht maji sikunywa nisije kupitwa na hizo actionHuyo nadhani ni iko uwais .ijawahi kutizama movie zake
Nitaftie jina.km unapenda mkono tafuta muvi yke mpya nimisahau jina ila niliichek ht maji sikunywa nisije kupitwa na hizo action
ile imeektiwa africa km kuna ebola flani sindio!Nitaftie jina.
Nakupa movie moja ya jack wuu inaitwa "the wlof warrior no 1 na 2" kwzitafute alafu uje uniambie hapa...
inaitwa headshot.asee kuna manyamera kule sijaonaNitaftie jina.
Nakupa movie moja ya jack wuu inaitwa "the wlof warrior no 1 na 2" kwzitafute alafu uje uniambie hapa...
Nadhani huyu jamaa atachukua mikoba ya donie yen kuendeleza wing chun style hata kama hatofanya kama donie ila naye atakua na vionjo vya aina yakeYule jamaa alitia heshima sana aisee.
Siku ya kwanza kuitizama nikajua jamaa hatopigwa kabisa.
Kale kajamaa kako fasta sana na behind the scene niliwahi kuiona ile michapo jamaa alikuwa ana perfom real kabisa ila tu wameongeza vitu kidogo na kuedit
Mi mvivu sana kuangalia movie ila saizi nataka kujiimarisha. Juzi nilianza na the walking dead saizi nipo epsode ya 36 halafu total zipo 146Nitaftie jina.
Nakupa movie moja ya jack wuu inaitwa "the wlof warrior no 1 na 2" kwzitafute alafu uje uniambie hapa...
ile imeektiwa africa km kuna ebola flani sindio!
ni shida asee km ndo hiyo muvi.
Nshaicheki hii makituIle movie jamaa alikuwa mjeshi huko china akazinguana nao akaacha kazi akaja aftica kwa biashara.
Walikuwa wa africa wamefungiwa kwenye kijumba flani hivi wakavamiwa wakauwawa sana humo,ila jamaa na kampani yake walisaidia sana sana sana.
Kuna yule dada mzungu amecheza triple threater yumo naye.
Huyu bwana star wa hii movie kacheza movie engine inaitwa "THE CLIMBER" ni movie moja kali sijaiona yote kaigiza huko kwenye milima ya barafu hatari sana huyu bwana.