safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 12,312
- 18,185
Ina mkono mtamu sana.
Na huyo huyo jamaa kuna movie kaicheza inaitwa "the climber" ni kwenye milima ya barafu huko wanakutwa na misukosuko wwnapambana nayo hatari sana.ila sijawahi kuiona kila nkiitafta