Invisible Habari yako..??

Ukitaka kujua uwepo wa invisible mPM...hapa hajitokezi maana atakuwa visible
 
mwenzangu...!!. mkuu mambo vipi?. habari za huko kanda ya kaskazini? mumeamua kumwagia watu maji kabisa?.poleni sana mkuu. mia
Nipo njianikufuatilia ukweli wa habari hiyo lakini yule jombaa atapata taabu sana kwa sababu yeye hyaupo kuwatumikia wananchi bali mabwana zake hicho kinachomponza.

Nipo njianikufuatilia ukweli wa habari hiyo lakini yule jombaa atapata taabu sana kwa sababu yeye hyaupo kuwatumikia wananchi bali mabwana zake hicho kinachomponza.

hadi mwaka huu kuisha atakuwa amenyoka.ukiupata ukweli niambiae mimi kwanza mkuu. mi natamani nikimuona nmpige na kiatu cha 4angle. mia
 
Back
Top Bottom