Invisible Habari yako..??

Kuna kipindi niliwahi kufikiri Invisible ni mtu zaidi ya mmoja. Yaani namba ya threads, upana wa ufahamu n.k. Ukimya huu unathibitisha kweli ni mtu mmoja.
 
Last edited by a moderator:
Kuna kipindi niliwahi kufikiri Invisible ni mtu zaidi ya mmoja. Yaani namba ya threads, upana wa ufahamu n.k. Ukimya huu unathibitisha kweli ni mtu mmoja.

Invisible hayuko kimya,jamvi limeongezeka zaidi ya mara nne kiidadi ndani ya miaka 2 tu!
Naamin yupo bize kuendesha jamvi,ukitaka kuamin,ukiwa na shda ukam PM,anajibu haraka na kwa ufasaha!
 
Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom