Invisible Habari yako..?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Invisible Habari yako..??

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by figganigga, Nov 22, 2011.

 1. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #1
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  hujambo? shikamoo.. nmekumiss sana mtu wangu. mbona umeadimika sana kama hips za nyoka? wajikoni anasemaje? hana habari mpya mpya?. paw nasikia alikuandikia barua kwamba anataka kujivua gamba? mwambie asiogope tulikua tunampiga mikwalatu, yaani kaogopa hadi anapiga ban kimya kimya. hivi mkuu zile kosta ninazokutana nazo mpya zimeandikwa INVISIBLE ni zako?wiki iloisha naona ile pc mode uliiwezea, imekuaje ukaiondoa tena?
  nakutakia siku njema.nategemea kukuona soon na habari za jikoni.msalimie RUSSIAN.
  mia
   
 2. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #2
  Nov 22, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160
  Kweli umeishiwa maneno haya bana
   
 3. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #3
  Nov 22, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Si ungem-PM tu?
   
 4. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #4
  Nov 22, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  huyu jamaa kakaa sana kimya...siyo kawaida yake!
  Aliyemshika kamshika kikweli!
   
 5. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #5
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  hahahaaa....hajashikwa, nafikili mambo ya kufundisha mamoderator wapya ni ngumu sana ndo maana yupo kimya.lakini kuna siku simile kipindi hicho akijiita babiii alikuwa ana request waonane lakini invisible alikua anazugazuga kama hataki.nafikili wameshaonana,labda kakolea.alikuwa anaulizwa kama kaoa inaonekana alijibu kwa pm.tangia siku hiyo sijamuona tena. Invisible mkali. mia
   
 6. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #6
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  wewe hujammiss? huwa akija hapa na mabreaking nuz yake lazima monitor ivibrate kama simu itawaka na kuzima.soon utaona. mia
   
 7. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #7
  Nov 22, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Ngoja niku-PM ili um-PM am-PM
   
 8. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #8
  Nov 22, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  mzee wa mia jinsi ulivyomtumia hiyo salamu kama enzi zile za sanifu kona ya salamu..
   
 9. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #9
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  siku hizi sipm mtu.mambo yote tunamalizana hapa hapa sababu lile neno "arrey" kwenye pm limenistua sana. au wewe ukitaka kusalimia mtu unamnong'oneza? si unaongea kwa sauti hata mbele za watu?hii ni salaam. tulikusaidia kumpiga biti paw la sivyo leo ungekuwa banned. mkuu mwita25 hujambo? mia
   
 10. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #10
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  hahahaaaa...!! Ezan bana.maneno machache lakini yana "M" zinazozidi maneno yenyewe. mia
   
 11. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #11
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  hivi lile gazeti la sanifu nani kalifungia na kwa kosa lipi?au walilifuta kabisa? nilikuwa napenda vikaragosi vyake. walikuwa wanamchora ben miwani mikubwa na bichwa halafu miguu miembabaaa..!!. mia
   
 12. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #12
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hahaaa haaaa mkuuu Mia. unanivunja mbavu hizo salamu kama enzi za RTD radio Tanzania Dsm,
   
 13. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #13
  Nov 22, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Dena na wewe unataka Chit Chat ifutwe kama Big X? hahaaa hujambo lakini?
   
 14. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #14
  Nov 22, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,139
  Trophy Points: 280
  nafikili = nafikiri
   
 15. CAMARADERIE

  CAMARADERIE JF-Expert Member

  #15
  Nov 22, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 4,427
  Likes Received: 158
  Trophy Points: 160
  nafikili is not equal to nafikiri
   
 16. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #16
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  ndo mpango mzima. toa salaam kwa watu watatu unatuma kwa watu 12. mia
   
 17. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #17
  Nov 22, 2011
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Nadhani hata u-MOD una likizo kama kazi nyingine.
   
 18. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #18
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  ukitakaa uishi kwa amani na furaha hapa jf usijaribu kuingia anga zangu. ntakuharibia siku bule. na nlishakuonya usicomment kwenye uzi wangu kwa sababu wewe ni bibi kizee ambaye hujiheshimu.
  nakupa onyo tena,
  UNIKOME.
  Kukosea ni haki ya kila binadamu kwanini ujifanye kujua.
  naachoa alekuwesa ifokisewa?
  nakuomba tena fanya mambo yako.bila shaka umenisoma. mia
   
 19. figganigga

  figganigga JF-Expert Member

  #19
  Nov 22, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 14,971
  Likes Received: 6,601
  Trophy Points: 280
  kashatoka likizo.kuna sehemu niliona kaandika kuanzia j3 wiki iloisha atakua anakaa kwenye mtambo wa jf masaa 20 kwa mda miezi miwili.hapa atakuwepo live hadi mwakani. mia
   
 20. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #20
  Nov 22, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,137
  Likes Received: 253
  Trophy Points: 160

  Ha ha basi yaishe bana kha??
   
Loading...