Invisible Habari yako..??

Aisee we jamaa kiboko, halafu invizibo mpaka saa hii hajajibu salamu wala maswali uliyomuuliza... Ishu ya kosta labda ni kale kamradi kuuza u premium memba kamemsaidia kuzinunua..!
 
ukitakaa uishi kwa amani na furaha hapa jf usijaribu kuingia anga zangu. ntakuharibia siku bule. na nlishakuonya usicomment kwenye uzi wangu kwa sababu wewe ni bibi kizee ambaye hujiheshimu. nakupa onyo tena,UNIKOME.Kukosea ni haki ya kila binadamu kwanini ujifanye kujua.naachoa alekuwesa ifokisewa?nakuomba tena fanya mambo yako.bila shaka umenisoma. mia
mmh! na mipasho unaiweza!!! lol!!
 
Aisee we jamaa kiboko, halafu invizibo mpaka saa hii hajajibu salamu wala maswali uliyomuuliza... Ishu ya kosta labda ni kale kamradi kuuza u premium memba kamemsaidia kuzinunua..!

anauzia wapi mkuu? anauza kwa bei gani? mi mwenyewe nataka kununua.
 
ukitakaa uishi kwa amani na furaha hapa jf usijaribu kuingia anga zangu. ntakuharibia siku bule. na nlishakuonya usicomment kwenye uzi wangu kwa sababu wewe ni bibi kizee ambaye hujiheshimu.
nakupa onyo tena,
UNIKOME.
Kukosea ni haki ya kila binadamu kwanini ujifanye kujua.
naachoa alekuwesa ifokisewa?
nakuomba tena fanya mambo yako.bila shaka umenisoma. mia

Unafaa kubigwa BAN wewe. Kukosea ukosee wewe hasira umalizie kwa ff????
 
Back
Top Bottom