unamaanisha kwamba introverts hawawezi oral/verbal interactions pekee sio?Mkuu introverts kwenye kuandika hawajawahi kufeli so hata kuchangia hapo wako very comfortable ila usiombe ukutanee nae yaani mpolee na maneno yanakataa[emoji1][emoji1]
Zote wanaweza ila hawawi comfortable kama extrovertsunamaanisha kwamba introverts hawawezi oral/verbal interactions pekee sio?
duh! Sawa bana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu tunapiga story hapa kwenye keyboard lakini tukikutana live hutaamini Kama Ni Mimi ninayeandika hivi.
Sent using Jamii Forums mobile app
unamaanisha kwamba introverts hawawezi oral/verbal interactions pekee sio?
Binamu tuambie basi tunaopiga kelele humu halafu mtaani hatuna rafiki hata mmoja tunaitwajeunamaanisha kwamba introverts hawawezi oral/verbal interactions pekee sio?
mi nadhani wengi wenu humu sio introverts. You guys are just not confident!
[emoji3][emoji3] mate bwanaBinamu tuambie basi tunaopiga kelele humu halafu mtaani hatuna rafiki hata mmoja tunaitwaje
binamu, wewe ni domo zege hahaa!Binamu tuambie basi tunaopiga kelele humu halafu mtaani hatuna rafiki hata mmoja tunaitwaje
Kuna Uzi mmoja wa maintrovert
Ukisoma utasisimka[emoji3526]
Nimeureply muda si mrefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha binamu bwanabinamu, wewe ni domo zege hahaa!
Eeh mate tutafutiwe jina letu
Tena nyie wenye kusema jamani ndio watesaji😂😂
Binamu tuambie basi tunaopiga kelele humu halafu mtaani hatuna rafiki hata mmoja tunaitwaje
😍Real intro ni waoga wa kuumia so they defend themselves sooo much hii inaleta shida nyingi kwenye uhusiano.
They calculate the future soo much mpaka wanasahau kuiishi leo.
Kabisa yani kuna kafeeling kazurii sana. Kama kitabu cha Susan cain,QUIET kimeelezea vizuri sana kuhusu introverts na traits zaoView attachment 1425503
Real intro ni waoga wa kuumia so they defend themselves sooo much hii inaleta shida nyingi kwenye uhusiano.
They calculate the future soo much mpaka wanasahau kuiishi leo.
[emoji23][emoji23][emoji23] amesema domozege[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nasubiria jina hilo
Hapana. Mimi ni mkimya sana lakini nina confidence ya ajabu na sijawahi kushindwa kuzungumza kwenye kadamnasi!Sio hawawezi ila wanakua hawako comfortable sana na mara nyingi inachukua muda mrefu kwa wao kuzoeana na wengine au kuinteract kirahisi ila wakishafanikiwa kukufahamu vizuri watakuwa comfortable sana na wewe. In short introverts are good at one to one communication hasa kwa watu wao wa karibu sana na kwenye mass ya watu wengi kiukweli wengi hawana confidence.
😂😂😂😂Ila nyie mnazingua..mpo serious Kama marobotTena nyie wenye kusema jamani ndio watesaji😂😂
Natania 👆
TunaringaaaEeh mate tutafutiwe jina letu