Hasa malezi ya watoto wao hayatakuwa mazuri ni vyema kumix introvert na extrovert..Hakuna mkuu. Maana they share some commonalities....I know some couples mmoja ni introvert na mwingine sio yaan ni ups and down. Mambo hayaendi kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha! Mambo hubadilika mkuu usikariri moja ya silaha ya introvert ni kuandika maana kuongea hawajui😂😅We ni msukuma wa wapi unaandika vizuri hivi, wasukuma wenzio wana taabu sana kwenye kuandika
Introvert wanatakiwa wawapate introverts wenzao vinginevyo wataishia kuwaumiza wale ambao sio introverts.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa Mr. KenzyHa ha! Mambo hubadilika mkuu usikariri moja ya siraha ya introvert ni kuandika maana kuongea hawajui😂😅
Real intro ni waoga wa kuumia so they defend themselves sooo much hii inaleta shida nyingi kwenye uhusiano.
They calculate the future soo much mpaka wanasahau kuiishi leo.
Wenye hio trait wanaongoza kwa puchuHabari zenu wadau? Poleni na mihangaiko na vita vya Corona. Ninakuja mbele zenu kuomba kujua kuna changamoto gani ambazo watu wa ndani ( introverts) wanazipata wakitaka kuanza mahusiano na jinsi gani wanaweza kuzishinda ukizingatia personality yao inawafanye wawe waoga kiunteract na watu wengine. Nawasilisha !
Sent using Samsung Galaxy A7 (2018)
Ha ha! Mambo hubadilika mkuu usikariri moja ya siraha ya introvert ni kuandika maana kuongea hawajui
Kudate na introvert yahitaji moyoNawe intro tupe mbinu..Elimu
Tunachafuliana CV kizembe hiviiiiiii
Shida gani mkuu? Share experience tujifunze
Hahah once nilikuwa introvert coz mazingira niliyolelewa we enjoyed to stay indoors ukitoka shule ni ndani hulazimishwi ila unajikuta tu utalala,utasoma vitabu,utachora mpaka unashangaa muda hautoshi.Kudate na introvert yahitaji moyo
Kikubwa
Sasa kama huyu niliye nae mpaka outing sehemu gani twende anapanga mpaka cha kuvaa na kula mi nitatoa hela tu yaani mimi ni mpenzi mtazamaji na ananijua napenda nin na nikichukia anajua so ni anajiongeza sana coz kuna muda nakuwaga kimya sijisikii kuongea na mtu atakuja atakaa anakuangalia tu mpaka utakapoona kama unamtesa hivi ndo unamwongelesha kidogo na kumtania hapo ndo umefungulia maongezi😁😁Kudate na introvert yahitaji moyo
Kikubwa
Kivipi mimi ni kutoka kwa mtazamo wanguTunachafuliana cv kizembe hiviiiiiii
Seek respect, not attention. It lasts longer
Hahaha huyu mimi kabisaReal intro ni waoga wa kuumia so they defend themselves sooo much hii inaleta shida nyingi kwenye uhusiano.
They calculate the future soo much mpaka wanasahau kuiishi leo.
Sasa kama huyu niliye nae mpaka outing sehemu gani twende anapanga mpaka cha kuvaa na kula mi nitatoa hela tu yaani mimi ni mpenzi mtazamaji na ananijua napenda nin na nikichukia anajua so ni anajiongeza sana coz kuna muda nakuwaga kimya sijisikii kuongea na mtu atakuja atakaa anakuangalia tu mpaka utakapoona kama unamtesa hivi ndo unamwongelesha kidogo na kumtania hapo ndo umefungulia maongezi
ila introverts kuachika ni nje nje coz mawasiliano ni hafifu waweza msalimia mpenzi afu ndo ukaishia hapo baada ya salama mpaka kesho so unaonekana ka hueleweki hivi au haujali au uko selfish sana