Introducing A|CSEE Professional –“A Spreadsheet”

Nyasiro

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
1,201
Reaction score
551
Leo nna furaha sana ku-release hii software ambayo nimeifanyia kazi kwa muda mrefu sasa. A|CSEE Professional ni toleo namba 3.0 ila hii ni Professional Edition kwani ina features nyingi sana zaidi ya 30 ambazo hazikuwepo kabisa katika matoleo ya nyuma.

A|CSEE Professional ni program ya kompyuta inayofanya kazi ya kutafuta, kupanga, na kuhifandhi matokeo ya CSEE (O'Level) na ACSEE (A'Level). Program inatafuta matokeo kwa haraka na usahihi kadri unavyo-type kwenye keyboard. Lengo la program hii ni kurahisisha kazi inayofanywa na waalimu kutafuta na kupanga matokeo ya wanafunzi wao wakati wanafunzi wanayasubiri kwa hamu.

Download: Click the link below to download

DOWNLOAD NOW

System Requirements
*Windows Installer 4.0
*.NET Framework 3.5
*1024*768 Screen Resolution
*Click here for full list

SAMP.PNG

Thanks to C6 kwa PSD ya splash screen

Wadau mawazo yenu ni ya muhimu sana kuboresha program hii, kama utaona bug yoyote tafadhali naomba uniambie ili nirekebishe.

UPDATE: Version 3.1 Itakuja muda si mrefu

UPDATE: Maoni, manunuzi, na masuala yote yanayohusu program hii yawasilishwe kupitia tovuti yetu ambayo ni www.shulemax.co.tz au simu 0757449054
 
Last edited by a moderator:
Leo nna furaha sana ku-release hii software ambayo nimeifanyia kazi kwa zaidi ya miaka mitano(5). A|CSEE Professional ni toleo namba 3.0 ila hii ni Professional Edition kwani ina features nyingi sana zaidi ya 30 ambazo hazikuwepo kabisa katika matoleo ya nyuma.

A|CSEE Professional ni program ya kompyuta inayofanya kazi ya kutafuta, kupanga, na kuhifandhi matokeo ya CSEE (O’Level) na ACSEE (A’Level). Program inatafuta matokeo kwa haraka na usahihi kadri unavyo-type kwenye keyboard. Lengo la program hii ni kurahisisha kazi inayofanywa na waalimu kutafuta na kupanga matokeo ya wanafunzi wao wakati wanafunzi wanayasubiri kwa hamu.

Download Link 1 www.nyasiro.com/files/acseepro.rar 9.95MB
Download Link 2 download.nyasiro.com/acseepro.exe 13.1MB

View attachment 82826

Thanks to C6 kwa PSD ya splash screen
Wadau mawazo yenu ni ya muhimu sana kuboresha program hii, kama utaona bug yoyote tafadhali naomba uniambie ili nirekebishe.

najiskia furaha sana kushiriki kwa njia moja au nyingine kwenye project hii, kama kawaida tayari niko naitest kuangalia bugs, zaidi ya hapo, thumbs up to nyasiro
 
Last edited by a moderator:
Is this a freeware?
A screenshot shows demo!

If its commecial, how much do you sell it?
Let's us know A to Z

Leo nna furaha sana ku-release hii software ambayo nimeifanyia kazi kwa zaidi ya miaka mitano(5). A|CSEE Professional ni toleo namba 3.0 ila hii ni Professional Edition kwani ina features nyingi sana zaidi ya 30 ambazo hazikuwepo kabisa katika matoleo ya nyuma.

A|CSEE Professional ni program ya kompyuta inayofanya kazi ya kutafuta, kupanga, na kuhifandhi matokeo ya CSEE (O’Level) na ACSEE (A’Level). Program inatafuta matokeo kwa haraka na usahihi kadri unavyo-type kwenye keyboard. Lengo la program hii ni kurahisisha kazi inayofanywa na waalimu kutafuta na kupanga matokeo ya wanafunzi wao wakati wanafunzi wanayasubiri kwa hamu.

Download Link 1 www.nyasiro.com/files/acseepro.rar 9.95MB
Download Link 2 download.nyasiro.com/acseepro.exe 13.1MB

View attachment 82826

Thanks to C6 kwa PSD ya splash screen
Wadau mawazo yenu ni ya muhimu sana kuboresha program hii, kama utaona bug yoyote tafadhali naomba uniambie ili nirekebishe.
 
Is this a freeware?
A screenshot shows demo!

If its commecial, how much do you sell it?
Let's us know A to Z

nadhani kuna version ambayo iko full, ukitumia demo utahitaji key au serials ku unlock full version, ngoja nyasiro aje hapa mwenyewe
 
Last edited by a moderator:
Is this a freeware?
A screenshot shows demo!

If its commecial, how much do you sell it?
Let's us know A to Z
sio commercial version. kinachoifanya iwe demo ni kwa sababu kuna baadhi ya features haziko full. mfano huwezi kusave kazi, pia huwezi kufanya kazi kwa wanafunzi zaidi ya 10. ila kuna full version kama unaitaka tuwasiliane kupitia hapa BUY A|CSEE Professional

nadhani kuna version ambayo iko full, ukitumia demo utahitaji key au serials ku unlock full version, ngoja nyasiro aje hapa mwenyewe

uko sawa hii ni pre activated ukiinstall inakuwa activated.

buy full version hapa: BUY A|CSEE Professional
 
nyasiro matokeo yanaanza ya mwaka gani

mkuu shiny c utakuwa bado hujaelewa kazi ya hii program. ni kwamba hii software nimeiandaa kwa ajili ya waalimu wa Tanzania ili kupunguza mzigo wa kuumiza kichwa kujua mwanafunzi kapata divisheni ngapi! kwa hiyo kinachofanyika ni mwalimu kuwa na alama(marks) za wanafunzi na kuziingiza kwenye program hii na kupata matokeo papo kwa hapo na kuweza kuprint n.k

Capture65656.PNG
 
nyasiro matokeo yanaanza ya mwaka gani

Hii ni calculator ya Division haina majibu ya mtu yoyote, inabidi uchomeke marks zako na itacalculate division yako.

Kwa Nyasiro:
Nadhani ungetoa hizo total na average hazina maana kimantiki. Ina look nzuri, hizo icons ni halali? kama unapanga kuiuza itakuwa ngumu kidogo maana haya yote unaweza ukafanya kwenye Excel spreadsheet na kuuza software Bongo tena kwa walimu itakuwa ngumu, labda uitumie kwenye Portfolio yako wakati unatafuta project za kulipwa au kazi.

Keep up the good work.
 
hizo total na avarage anaweza kuzitoa mtumiaji mwenyewe kupitia command iliyopo kwenye menu/toolbar. icons zote ni halali na nimezitolea ufafanuzi kwenye help file, copyright doc, pamoja na ndani ya program. ni kweli yanaweza kufanyika kwenye excel lakini ni mzunguko mrefu na ambao mara nyingi una makosa na hauna tofauti na kufanya kwenye karatasi. kwa kutambua umuhimu wa excel hii program ina exporter/converter inayoweza kuruhusu ku export data kutoka A|CSEE calculator kwenda kwenye excel, word au pdf kirahisi kabisa.
 
mkuu shiny c utakuwa bado hujaelewa kazi ya hii program. ni kwamba hii software nimeiandaa kwa ajili ya waalimu wa Tanzania ili kupunguza mzigo wa kuumiza kichwa kujua mwanafunzi kapata divisheni ngapi! kwa hiyo kinachofanyika ni mwalimu kuwa na alama(marks) za wanafunzi na kuziingiza kwenye program hii na kupata matokeo papo kwa hapo na kuweza kuprint n.k

View attachment 82904

hapo nimekuelewa sasa!!
 
hizo total na avarage anaweza kuzitoa mtumiaji mwenyewe kupitia command iliyopo kwenye menu/toolbar. icons zote ni halali na nimezitolea ufafanuzi kwenye help file, copyright doc, pamoja na ndani ya program. ni kweli yanaweza kufanyika kwenye excel lakini ni mzunguko mrefu na ambao mara nyingi una makosa na hauna tofauti na kufanya kwenye karatasi. kwa kutambua umuhimu wa excel hii program ina exporter/converter inayoweza kuruhusu ku export data kutoka A|CSEE calculator kwenda kwenye excel, word au pdf kirahisi kabisa.

Kwenye excel Unaweza ukaandika formula ambayo itacalculate automatically kama ulivyoandika wewe.
 
nakubali kwenye excel utaweza kupata total na average lakini sio division. kwa kutumia hii software yangu unapata division, points, total na average automatically na accurately. pia Kang kumbuka hii software yangu ina uwezo wa ku-interpreti marks kama zikiwa katika namba(0-100) au grades za kawaida (A-F). pia inacontrol penalty na kudetect invalid inputs pamoja na vitu vingine vingi tu. naomba angalau udownload halafu unipe feedback
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom